Habari wataalamu wa hili jukwaa nimeinunua hiyo cm ina siku tatu tu nataka ni unlocke iwe ina ingiza simu card yoyote kwan sasa hvi inatumia tgo peke yake je kuna madhara either network au madhara...
Wakuu
Nilikuwa naangalia vifurushi vya voda na airtel, nikakuta
5gb voda wanauza 20,000/- (1 month period)
5gb Airtel wanauza 45,000/- (1 month period)
Kwa nn bei zimetofautiana sana?
Naomba...
Mi ni mgeni katika matumizi ya hii os,naombeni msaada nifanyeje ili niweze kutumia modem yangu katika ubuntu 12.04?
Pia nitahitaji msaada jinsi ya ku-play mp4,RMVB,AVI na aina mbali mbali za movie...
Hii ni Nokia Lumia 620
Amazon inauzwa 205USD takriban 340000 (by nokia) (unlocked)
Vodafone UK inauzwa Euro 125 takriban 270000 (pay as you go)
Online stores South Africa na India takriban si...
jamani naomba ushauli wenu eneo nililopo halina umeme kwa hiyo nataka kutengeneza umeme kwa kutumia betri la gari na inveta kwa matumizi ya kuchaji cim na redio na tv je inawezekana ushauli hata...
Nna BB smart Phone , Bold9700. Kila nikijaribu kuplay video kwenye Youtube inaniletea ujume usemao "An error has occured attempting to play media card" na kwa juu ina Red inaandiak Error playing...
Salaam wakuu, I bought a memory card (8gb) which was working perfectly until a couple of days go when I rebooted my phone and it gave me this error 'the media card inserted contains errors' then...
Waungwana mnisaidie nikitumiwa sms znakatika katika ktk page mbili na zaidi kwenye TECNO N3,,,,nifanyeje zije ktk page 1 hata km ni sms ndefu kias gan, ,, msaada plz, , ,
Naombeni msaada wana jf hasa watu wa It . Nimenunua printer mpya aina ya Kyocera tk-340 2020D, nimeifanyia installation ikamaliza, sasa kwENYE KU PRINT TEST PAGE pale juu ya printer ikawaka taa...
Cm yangu aina ya tecno t721 ina tatizo la kubadilisha text messege kwenda mms pindi niandikapo sms yenye zaidi ya characters 150 hivyo kushindwa kuituma.nifanyaje ili niweze kutuma sms ndefu?
natumia simu samsung GT-C3222. sikuwahi kuingia youtube na kuangalia videos lakini nimejaribu leo kila video ninayojaribu kuangalia inakataa na message ninayopata ni "does not support". nifanye...
natumia simu samsung GT-C3222. sikuwahi kuingia youtube na kuangalia videos lakini nimejaribu leo kila video ninayojaribu kuangalia inakataa na message ninayopata ni "does not support". nifanye...
Ni PC aina ya Dell Optiplex GX 620 Desktop. Tatizo limeanza leo baada ya kuzima alafu nikawasha ili kupisha i-instal updates ambazo zilisha pakuliwa na PC yenyewe sasa kwenye kuwaka ndio tatizo...
Kuna kipindi hapa ofisini nilikua naunganisha wireless network ya kampuni kwenye ka android kangu asa wakagundua kama natumia sijui walifanyeje manake sikuiz nikiunganisha inagoma inaandka...
habarini wadau nilikuwa na root tecno p3 nimeweza kudownload poot also nikadownload ministro 2 playstore lakini ninapojaribu kuapu date libraies napata huu ujumbe INVALID QT VERSION naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.