Leo nimeona niwaletee makala ya kubadili mafaili ya pdf kwenda word, au word kwenda pdf kwa urahisi.
Pdf kwenda word
wote tunajua faili likiwa kwenye pdf halieditiki, njia rahisi ni...
Baadhi ya watu waliosoma Stanford na kampuni zilizozaliwa chuo hiko.
Government: 3 current Supreme Court Justices (Chief Justice William Rehnquist along with Associate Justices Anthony Kennedy...
Almost new Nikon D3100 with digital SLR features for sale. Some of the features include: DX format, 14 megapixels, capable of video recording, 18-55mm lens, 3 inch LCD screen, built in flash...
Habari wanajukwaa,
Je kifurushi cha internet cha Airtel ambacho lilikua kinapatikana kwa kutuma keyword INTERNET kwenda 15444 ni kiasi gani kwa sasa? Mwanzoni ilikua 2500/= unapata 400MB kwa...
Hilo tatizo ni common sana kwa laptop nyingi,ila maranyingi huwa linanipa tabu kwenye kulitatua,naomba mnipe somo kidogo juu ya hili, kuna upande mmoja unakuta fan inawaka kidogo theninakata na...
Salamu wakuu! Nimenunua blackberry storm 9530 lakini nimekutana na changamoto zifuatazo:
1. Nikipiga *102# au kuingiza voucher *104*13682....# haiendi kwa njia ile ya kawaida unapo dial kwa...
Wakuu wajuvi wa jamvi hili, salaam!
Naomba msaada wa kitaalamu. Kuna PC yangu (Desktop) inanizingua sana.Tatizo lililopo ni kwamba, ninapoiwasha na ku-chomeka Modem, huwa ina-restart yenyewe...
Nna kimeo changu cha BBerry 9300 ambacho nakitumia mara kwa mara. Sasa tatizo last Monday niliupgrade system yake from version 5 to 6. Kila wakati inansumbua inasema memory ndogo nifute baadhi ya...
Polen na majukumu ndugu zangu pia nawatakia wikendi njema.Jaman. naomb kujua ni jinsi gani naweza Piga free call mana saizi wanakula sana hela wenye maujuzi tunaomba.nawasilisha hoja
Mwanye file la PDANET Full version, au mwenye linki ya kuaminika ya ku-dowload hiyo application full version, naomba anisaidie. Natumia PDANET kupata internet kwenye pc. Hii niliyonayo haifungui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.