Habari za asubuhi humu jamvini natumai mko poa,Nasumbuliwa na hili swali hivi aliyechora ramani ya dunia alitumia nini na teknolojia gani kuichora ramani ya dunia? Na alikuwa amesimama wapi wakati...
jamani mwenye activator ya windows 8 release previews build 8400 anisaidie kuipiga chini naona ishu kwa sababu naipenda sana nisaidieni niweze kuiactivate jamani
Nina imani mu wazima,
Tafadhali naomba msaada wa kupanga matokeo ya mtihani kuanzia mtu wa kwanza hadi wa mwisho,
mpaka sasa nimeshaandika randomly hayo majina 263 na alama zao kwa masomo manne...
Ni muda mrefu nimekuwa nikitumia Internet bila Data plan,yaani hata vifurushi vya cheka nimekuwa nikifungua vizuri internet.Sasa hivi juzi imekuwa ikigoma kufungua internet. La sivyo niondoe betri...
WALIANZA NA VISIMBUZI/VINGAMUZI
SASA WAMESHAFIKA HADI KWENYE SIM CARD....
HIVI HII SERIKALI YA MKUU WA KAYA WANATAKA TUHAME NCHI TUWE WAKIMBIZI KABISA. KILA KITU MNATAKA KODI HADI simu eti tumia...
Sio mbaya kuwajuza wana Tech wenzangu walio interested na Virtual Private networks
Kuna haka ka VPN kameibuka siku hizi sio vibaya ukika review na ukaacha maoni yako hapa chini
Pia Tembelea hapa...
Habari zenu wataalam wa humu! Mi natumia simu ya iNote Mini na ina android, tatizo linakuja nikitaka kuapload blog yangu kutumia simu naambiwa unsupported browser, nikadownload opera mini lakini...
Microbes that can thrive in extreme environments - but are tricky to grow in the laboratory
Related Stories
Bugs to be Earth's 'last survivors'
Arsenic-munching bacteria found
Living life to...
Wakuu tafadhali msaada Nimefuta baadhi ya program kwenye Pc yangu cha ajabu, Modemu ya voda haisomi! Nimeunstall ili ni Install upya lakini bado haitaki hata kuinstall tena, Jamani naombeni msaada...
Sijui nimekosea wap hii ni duos line one inaonyesha kwenye display 0.0 na kila nikipiga inaleta msg "no credit left" na vocha ipo. Nimejarib kugoogle inasema nimeweka call limit nikitaka kuedit...
ni Muda sasa umepita kwa dish za kawaida tulikua tukipata ktk uelekeo wetu huu wa East kuku2mia Ku-Band na C-band.
sasa signal zipo, Picha hatupat.
Tbc
StarTv
Agape Tv
Tv Imaan
Kbc1...
sm yangu hainiruhusu kuinstall appl zaid na bado nina space ya kutosha kwenye cd card nataka niiroot safely tatzo sjui procedure sahihi! naombeni msaada kwa anayejua.
Yaani kila niki-browse JF naletewa error 400 na kuna hayo maandishi ya Cloudflare (sp) hadi naboreka, inapatikana zaidi nikitumia simu. natumia HTC-HD7 ndio tatizo au kuna la zaidi? Nisaidieni wadau
So far, Atlas has only been put through its paces in a lab
Contact lens gives telescopic vision
Robot soldier tests military clothes Watch
US plans small-ship drone launches
A humanoid robot...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.