Kila nikifungua laptop yangu inanikomandi nichague boot devices-haikuwa hivyo kabla. Pia maandishi kucheza cheza kila explorer au google chrome ipo kwenye process ya kufunguka . Je, ni virusi au...
Bila shaka ujio wa viber na whatsapp umepunguza maradufu gharama ya kupiga simu na kutuma sms. Mfano data usage ya viber ni sawa na 240 kb per min(up and down). Hii ina maana simu ya saa moja(iwe...
Nataka kujiunga na internet, ni BB storm 9530 nimejaribu kununua kifurush cha BB social lakin sijaweza kuacces internet. Nikibofya browser inaniambia "your device does not currently have any...
Habari wadau!
Ninatumia internet ya TiGO katika simu yangu,lakini kuna kipindi naona inanizingua sana nimeamua nihamie Voda,mdau yoyote anayejua setting za internet ya Voda kwenye simu anisaidie...
Naomba kufahamishwa kwa wenye utaalam huu wa namna ya kuiunganisha (kuset) namba ya simu ya mtu ili mesej zikitumwa kwake zipitie kwangu au kama kuna uwezekano wa kunasa na kusikiliza maongez yake...
Wakuu, nina galaxy S. Nataka kutoa Gingerbread na kuweka Jelly Bean. Kama Jb itakuwa inazinguwa, hata latest ya Gingerbread siyo mbaya. Gingerbread iliyopo ni 2.3.6
Asanteni wadau.
Kipindi cha kiangazi (summer) kinapoingia, moja ya biashara zinazofaidika kwa sana ni ile ya vyumba vya kufanyia mazoezi (gym). Biashara hii huwavutia watu wengi kwa sababu muda huo,wake kwa waume...
Jamani wana jf naombeni msaada simu yangu nokia 5230 imekata mwanga gafla mwanga upo wa chini nimejari kuongeza mwanga haupandi kabisa je tatizo nini? Kuangalia hadi uwe chumbani kwenye giza
kwanza natoa shukrani zangu kwa wanajamii wote pili ningependa tusaidianini kwa wale walio kua hawana uwezo wa kukodi dstv tuwasaidie ili ligi zitakapo anza nao waweze kuona live japo katika...
Dear Technical GURUS
nimenunua used Ipad 64 gb,kila nikitaka ku dowload from net inaleta itune na inataka either register or log in,kuna njia yoyote naweza kudownload bypass itune au nifanyeje?na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.