Hapo kipindi cha nyuma simu zenye maumbo makubwa hazikuwa zinapendwa na watu wengi, zilikua zikichukuliwa kama kero hasa sababu kubwa nyingi kuwa ni vimeo za kichina.
Ila kwa sasa makampuni ya...
Aisee original products zinatubagua sisi masikini.
Nimenunua Home Theatre ya RCA Model STS8317W ina FM/DVD Player ktk receiver yake, nilikua nimeBurn viDVD na viCD vyangu ili nianze kupata...
wale wanao tumia vifurushi vya airtel kaeni makini sana.
wanaibaje?- Hawa jamaa ukijiunga na kifurushi cha siku, wiki au mwezi huwa wana disconnect kabla muda uliolipia haujaisha hasa kama simu...
Nawapongeza sana Tritel (T) Ltd kwa kuwajali watu wa Tarime kwa kuwaletea mtandao wa kasi. Sikuamini macho yangu kwa sababu nilijua
Voda ndio wangelianzisha na sasa hivi naEnjoy Speed yake.
Noma sana. Teknolojia inapanda bei daily. Vodacom vifurushi vyao bei imepanda kuanzia juzi usiku, imeongezwa tsh100 kwa kila kifurushi ulichokua unakijua.
KAZI NI KWAKO.
njia gani ya ku add gadget ya jamiiforum kwenye google sidebar, ya laptop, ZINAKUJA NYINGINE TU za NJE na mimi nataka za habari za hapa nchini tz zaidi, AU JAMIIFORUM KWA UJUMLA, that's my point!
Buy the bluetooth Bracelet now at sabasaba. For only 65,000tshs. Saba Saba Offer. We are located behind Alhasan Mwinyi Hall. Call 0764 468420 for directions when you are there. After sabasaba...
Nina matatizo mawili. Kwanza; Kwa zaidi ya mwezi sasa compyuta yangu aina ya dell ambayo nimeitumia kwa zaidi ya miaka miwili, imekuwa too slow na tena hata kufungua internate ni shida kweli. Sina...
Compyuta yangu DELL DIMENSION 9150 Inatumia OS WINDOW XP POSSESSIONAL Imeniletea letea tatizo lifuatalo. UNAPOFUNGUA KITU CHOCHOTE NA UKITAKA KURUDI NYUMA ILE ICON YA BACK NA FORWARD IMEPOTEA NA...
Bandungu naomba msaada wa haraka. Kuna HDD yangu ya gb 500 imebakia na free space ya gb 9.4 tu wakati wala haina vitu vyenye size kubwa, na wala sijabackup windows. Nimetumia revo uninstaller...
Wakuu naomba msaada ktk hili nimejaribu kutumia apps tofauti kutoka google play tatizo nashindwa kuitumia app husika kuweza kudownload nyimbo au muvi.msaada kwa anayue fahamu plz
Jamaa IDM yangu inaleta shida, inaleta option ya kudownload fresh kabisa ila video inayokuwa downloaded ni tofauti kabisa kuna video inayotokea ni jamaa flan hivi video inavyoanza anakuwa anajamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.