Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nilikuwa mteja mzuri wa vodacom services ikiwemo wap iliyonisaidia ninapokuwa interior na simu yangu unaona.Sasa recently nimeformat p.Memory na automaticaly nikadelete configaration yao.Sasa...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wakuu, natafuta fundi wa Computer (PC) haiwaki.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wadau.....naomba kujuzwa injini mpya ya bajaj za 2 stroke au TVS inaweza patikana kwa sh ngapi??
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu ambaye ameshanunua hii bundle ya DSTV 16500 naomba mwongozo wa chanels zilizopo..Kwenye tangazo lao wanasema 40 ila nimeperuzi kujua nizipi sijapata
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama heading inavyoeleza,ninaomba product key za ms office professional 2003
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu nilikuwa natumia zantel internet na ukweli haijawahi kuniangusha sana, huwa naweka cha 20,000/= kuna kipindi nikaweka kile cha voda cha 20,000/= , spidi ni nzuri ila kuna wakati...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Jamani ni wiki ya pili sasa kila nikiweka bandle la internet linapotea kwa haraka sana ndani ya 10minutes huwa namaliza bundle la 50mb. wakati mwingine pc yangu inakuwa slow at the maximum na...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Wakuu salam! Rejea tittle hapo juu, Naomba mwenye exprience ya hili tatizo, option ya ku-attach kwenye account yangu ya email address ya gmail hai-respond, na-click lakini wapi hivyo nashindwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kitu kipya kimetoka cha Operamini 4.5 chenye download manager kwa zile simu zenye java na hilo limekuwa kilio cha watu wengi ambao simu zao hazina uwezo wa kuendesha opera mini 5, 6 na 7 kwa hiyo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wana Jf,nimepewa laptop inayotumia window 98 naomba mnisaidie nifanyeje?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
nahitaji samsung galaxy s3 kwa mtu yeyote aliyekuwa nayo na iwe kwa bei nafuu kabisa.(used)
0 Reactions
21 Replies
2K Views
del latitude d620 ram 2gb Hard disc 80gb duo processor power 3hour. haina adaptor. Napatikana Moshi, kwa mwenye uhitaji anipm!!!
0 Reactions
3 Replies
997 Views
Habr wakuu? samahan laptop yng hutokea maneno haya "window has recovered from an unxpected shutdown" kila muda inajirestart sielew nifanye nn wakuu msaada tafadhali...... ' '
0 Reactions
1 Replies
680 Views
wakuu hebu nipeni ufumbuzi nini nifanye maanake nikifungua website kubwa kama youtube or gmailg, facebook na kdhalika huwaga hazifunguki zinasema setting error wakati nyengine mbona zinafunguka...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
ni used good condition wacliana na me 0652414445
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu! Ninavutiwa sana kutumia Bluetoothheadphone kwenye simu yangu ya Nokia E5. Lakini nimejaribu kuunga nimeshindwa kwa yeyote mwenye ujuzi na hii smu anisaidie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wanaotaka kubadilisha fomat mbalimbali kama za ps3 iphone ipod android dvx dvd vcd hd dvd na zingine nyingi yaani utapenda itatoa quality za simu vizuri kuliko converter nyingi...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Natumia simu ya sumsung galaxy S2 kuna mtu akipigiwa cmu kwa namba yake zinaingia kwangu halafu mwangu inaniandikia "call forwaded" huku inaita je, nawezaje kuondoa ttz hilo ili simu iwe kama mwanzo.
0 Reactions
1 Replies
769 Views
.......
4 Reactions
12 Replies
1K Views
waungwana hebu nipeni ushauri wenu wapi niende au nini nifanye jinsi ya kuchange wapsite yangu ya wapka.mobi na kuwa domain ya .com au vipi naweza kupata site ya .com
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom