natumia nokia X2-01, nilikuwa nikitumia whatsapp kwenye hii simu hapo kabla now nimerestore hii simu....nimejaribu kudownload tena whatsapp lakini kila nikiingiza namba ya simu inakataa ingawaje...
Free application za android zinazodownloadiwa kwa sana ni pamoja na
AMP-video na music player
AUDIO MANAGER-locking calls,hide call,apps,pictures,videos ni nzur na ipo privacy
CALL...
Heshima zenu wakuu,,
nina nokia asha kila niki download file sizioni sijajua zinakwenda sehemu gani
msaada tafadhali kwa mlio na uzoefu na nokia
Natanguliza shukrani kwanza.
Wandugu naombeni kwa wale wazoefu wa Tv,nijuzeni kuhusu UIMARA WA ILE GLASS SCREEN YA TV ZA LCDs ukilinganisha na zile tulizozoea za CRT/CHOGO. Aidha kama ni delicate sana ama strong enough to...
Naomba kama mtu ana-notes za mcrsft excel na word anisaidie naumbuka jamani na nitakosa kazi! Kwa yeyote atakaenisaidia hili nitampa hata ela ya asante,nawategemea nyie wakuu!
Sent from my...
habari wanajamii., naomba msaada wa jinsi ya kuipata hiyo battery au kama kuna mdau anayo anicheki., natanguliza shukrani za dhati kwa msaada wowote nitao upata
SMILE Communications Tanzania, a subsidiary of Johannesburg-based Smile Telecoms Holdings, said on Friday it had launched the long-term evolution (LTE) service, commonly called 4G, in Tanzania...
habari, naomba discussion ya mawazo yenu hasa watu wa fani za IT
Kuna umuhimu wa kujua programming languages nyingi (mf. C++,C, phython, perl) au kuwa na language moja ambayo utakua na ufanisi...
Kila nikiplay mp4 inacheza sauti tu picha hakuna. Naomba mnisaidie link niwezepata media player nyingine hata kwa kudownload. Simu yangu ni Nokia E61i. Haya wataalamu kazi kwenu.
waungwana hebu nipeni ushauri wenu wapi niende au nini nifanye jinsi ya kuchange wapsite yangu ya wapka.mobi na kuwa domain ya .com au vipi naweza kupata site ya .com
Nime download program inaitwa INVOICE BY CLICK
Hawa wenye program hii siwaelewi kabisa
wameweka software yao kwenye internet lakini ukijaribu kuwasiliana nao kwa
ajili ya wakuuzie hawajibu hata...
Ndugu wana jf husika na kichwa cha habari hapo juu, nina Nokia n9 lakini cha kushangaza flash camera haipigi kazi hata nikijaribu ku set flash yenyewe bila automatic bado haipigi kazi
Sijui...
My working computer
a customised 13 " dual core i7macbook pro (3.7GHz) with 8MB L3 cache-mid2012 with HD 2 Terabytes, ram12GB now runs these three os's:
Linux Mint , Win8 Prof, OSX10.8.3 .I use...
Waungwana msaada nisaidien kuset comfiguration settings ktk cm yangu nokia x2-01, manualy.nimejariba kua acces kwa settings nilizotumiwa kampuni za Airtel na voda lkn imeshindikana.
Wadau mm sijawahi kutumia hizi android wala windows phone natumia nokia c3 sasa hapa nna laki 2 na nusu nashindwa ninunue cm gan maana me wakusoma hvyo ningependa zaidi isome pdf na ikiwezekana m...
wadau naomba mnielekeze wapi niende au matandao upi nifungue jinsi ya kusoma hizi code za HTML na XHTML vile vile nasikia kuna code zinaitwa BB5 wapi nitazipata msaada tafadhali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.