habari wadauz screen touch ya tablet yangu imegoma kufanya kazi kabisa, naomba kwa yeyote aliyewahi kupata problem hii anisaidie alitatua aje.
aina ya tablet ni twinmos.
Natanguliza shukrani.
Ni Amplifire za kurushia picha kwenye cable. Nilishawahi andika hapa kuna baadhi wakanishauli nitumie faiba kuwaomba ufafanuzi zaidi kuhusu hiyo faiba wakaingia mitini. Njia nnayoielewa vizuri ni...
hello wadau..screen touch ya tablet yangu imegoma kabisa kufanya kazi....naomba msaada kama kuna mtu amepata same problem aniambie alitatua aje. aina ya tablet ni TWINMOS.
SHUKRANI.
Wadau habari za kazi. Naomba mwenye maujuzi ya namna ya kununua internet bundles kwa kutumia Nexus 7 4 G katika mtandao was vodacom. Ikumbukwe kuwa nexus haina features za kupiga simu wala kutuma...
...Lakini uzinduzi huo wa 4G uendane sambamba na usambazaji wa huduma ya 3G nchi nzima huku ikifuatiwa nyuma na hiyo mpya ya 4G maeneo mengi kadiri iwezekanavyo na siyo katika baadhi ya miji...
Habari zenu wanajf. Hv naomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia maujanja jinsi ya kuirudisha laptop iliyoibiwa au hata kumtambua mwizi wangu.. unaweza hata kunipm au kuanika hapa jamvini.
hali zenu wanabodi.
wakuu naomba kwa anayeweza kuniuzia adapter ambayo inaweza pokea input ya 110/240 v ac 50/60 na kutoa output ya 5Voltd dc na 0.5A naihitaji kwa haraka mno.inisaidie kwenye...
Hii kitu wale wahanga kama mm wakupenda Metro UI kiko hewani so tukisikilizie Wale wa 32bit seeders wachache mno kiasii cha kuchukua masaa 5 kuwa cached kwenye zbigz Wakati wale wa 64 bit kitu...
kama mnavojua Tanzania ni nchi yenye vijana wengi wasio na ajira, vijana hawa walikuwa wamejipatia ajira kwa kutengeneza simu za mkononi tangu kuingia mwaka 1995 upande wa Analogia na mwaka 2000...
Mpo wanatekno?. Ebana kwa wale walioikimbia voda nakwenda airtell au wap kungne vile na kuweka zile moderm za voda kapuni. Chukua hii 10,000 unigeie iyo kitu. Njoo PM
simu yangu ni nokia n8 shida yangu nikitaka kufungu file inaniambia home screen memory full close application and try again hata nikidownload program inakataa naomba msaada wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.