Waungwana Habari za Jumapili...
Samahani nilikuwa naomba kuuliza inawezekana kutumia zile servise unazolipia za Intarnet kwenye BB ukatumia kwenye PC
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Wanatekno kwema jamani?,
Haya sasa, samahani lakini naitaji tu kupata picha ya kimawazo na elimu toka kwako juu ya aina hizi mbili za kompyuta za mezani.
Hapa nazungumzia kompyuta wima (tower...
Habari wakuu,
Nina simu ya Iphone.
Model No : A1241 FCC ID : BCGA 1241 IC ID : 579C-A1241.
Ni nyeupe, nyuma imeandikwa DESIGNED BY APPLE IN CALFONIA , ASSEMBLIED IN U.S.A
Jamani hii...
kwa wanaohitaji kutengenezwa website,blogs,vipeperushi,na other stationary stuff contact us maria@dwt.co.tz au 0715878575.kazi ambazo tumewahi kufanya na ziko hewani ni kama ifuatavyo...
Msaada jamani iphone imeroga inatoa sound tu! Haisogei mbele wala nyuma ku crick ni double one click,, Program zilizipo chini hazipandi juu wala haziende left or right,,, plz msaada jamani.
Wakuu wazoefu wa maswala ya simu naombeni msaada wenu nikikuwa nainstall proglam moja kwenye simu yangu ya samsung gallaxy ace 5830i ila nilipokwenda kuifungua ikaniambia your phone not rooted...
katika pita pita yang kweny simu yangu nimekuwa nikuta h kitu bt nashindwa namna ya kufanya hyo onlneupgrade.
Nikichagua kweny hyo online upg, nakutana na vfuata
-firmwire upgrde
-system...
Wakuu heshima zenu
ninataka kuunganisha account zangu za yahoo na gmail ili niwe napokea mails zote kupitia Microsoft outlook
kama inavyoonesha hapo kwenye picha nimeshindwa cha kujaza kwenye...
habarini ndugu. Je kuna mtu anafahamu naweza kupata wapi GPS map ya Tanzania. nina gari ya Toyota imekuja na CD ya Ramani ya Japan nataka nipate ya Tanzania. hata kama iko kwenye website ya...
kwa mnao ielewa DOS/command prompt mwaweza kuchat sasa
1) All you need is your
friend's IP Address and
your Command
Prompt.
2) Open Notepad and
write this code as it is.....!
echo off
:A...
wakuu poleni na majukumu! kwa wale wote waliojiunga na satelite dish aina ya ZUKU nawakumbusha kubadiliisha uelekeo kabla ya tarehe 28may2013 kwa kuwa kwa kipindi hiki kilichobaki utaratibu wa...
wakuu salama!shemeji yenu amesema mwisho wa mwezi kama sitamnunulia NOKIA ASHA 311 SMARTPHONE patachimbika!imebidi nianze kujikusanya,je simu hizo zinauzwa shilingi ngapi?wapi?
Msaada.. Natumia blackberry 9780 kama modem kwenye laptop ila inakua inatumia bundle za kawaida au kukata ela iliyopo kwenye simu.. Sasa naomba msaada ntawezaje kuwa natumia internet kwa bundle za...
naombeni msaada wa app itakayo niwezesha kusikiliza redio mbalimbali, awali nilikuwa na internet radio, nikiitafuta nokia store siioni tena wakuu, msaada wenu pls!
Nahitaji kuondoa version iliyopita na kuweka ya 2013. sasa katika control panel hata siioni icon yake. Nisaidieni jinsi ya kuitoa maana imeshaisha muda wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.