Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa wana JF wapya, kuna kipindi Invisible aliweka link ya vitabu vya ICT ambavyo viko katika FPT server, ambavyo unaweza ku-download kwa kadri unavyotaka kwa kujiendeleza katika masuala ya ICT...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
niuninstall theme ya waterfall kwenye komputer yangu ya dell inayotumia window xp royale s3 baada ya ku uninstall display ikawa whitish in color na mpaka sasa nikiiwasha tu inakuwa hivyo hivyo...
0 Reactions
7 Replies
876 Views
Binafsi kwa sasa nipo maeneo ya nje kidogo ya mji wa moro mjini kama km 65 hivi.Huku mtandao unaojitahidi katika internet ni voda.Nilikuwa najaribu ku download movies kwa kutumia Utorrent,movie ya...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Wanajf nisaidieni restore factory code simu ya Nokia 3500c kwani nilitimia 1234 ikaniandikia code error
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji gamepad kwa ajili kucheza Fifa 13 kwenye PC kwa yeyote anayejua Pad nzuri naomba anishauri ni ipi, nikipata gharama na mahali pa kuipata itakuwa vizuri..
0 Reactions
17 Replies
3K Views
wadau naomba msaada wenu nimeenda kwenye interview moja nikakutana na swalilikisema ni aina ipi ya virus kwenye compoter aliyesumbua mwaka 2001 lilikuwa multiple choicw question kati option...
1 Reactions
3 Replies
816 Views
kweli wale wote ambao ni ma-it pongezi kwenu, your job is great!!! Nashukuru sana sana, japo sija unlock my phone, ila natanguliza shukurani za ukweli, from my heart. i am going to unlock it...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
The mysterious group of hackers warned that this is just the beginning. Hawa wezi wa Dunia ni Hatari sana Mkuu.C6
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Naomba msaada wa jinsi ya ku un-lock printer hiyo (EPSON STYLUS 1410) inapojifunga (lock) maana hizi printer huwa zinajifunga baada ya kutoa copy kiasi fulani cha karatasi (printing) na kila moja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wakuu, Msaada kwenye laptop yangu, nikiconect na internet inaconnect na videos ambazo zpo kwenye torrent zinaendelea kudownload Lakini nikifungua browser yoyote(maxthon, chrome, internet...
0 Reactions
1 Replies
727 Views
General 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA 900 / 2100 SIM Mini-SIM Announced 2011, February Status Available. Released 2011, March Body...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Hali zenu wadau... Naomba mnisaidie jinsi ya kulock Channel kwenye DSTV Wabheja sana
0 Reactions
2 Replies
3K Views
TAFADHALI INGIA KWENYE WIZARA YA MIFUGO Ministry of Livestock and Fisheries Development - Home - HALAFU ANGALIA UPANDE WA KULIA KWA CHINI KWENYE KICHWA CHA IMPORTANT LINK UTAJIONEA MWENYEWE LINK...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Masada wakubwa kuna pc imesahaulika password zake za kwnda kwenye setup kama kuna yeyote anaejua jinsi ya kuchakachua au kuziondoa naomba msaada wake na naomba kujua cmos better inatunza password...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu eti kati ya Pes13 na fifa13 ipi zaidi...!
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Hivi who is the CIO wa nchi anayemshauri Presedent wetu kwenye masuala ya Technologia ya Habari na Mawasiliano kama hamna naomba Ikulu watangaze nafasi hii muhimu sana kwa maendeleo ya nchi
0 Reactions
4 Replies
748 Views
Kama jibu lako ni Hapana ishia hapaaa................... Kama jibu lako ni Ndio........ Kwamba unataka uwezo wa kufuta ma application yakijinga yanojaza memory ya simu lakini...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Meneja Usalama wa Mawasiliano wa Kampuni ya PricewaterhouseCoopers Tanzania (PwC) Kanda ya Afrika, Edwin Moindi, akizungumzia namna ya kudhibiti uhalifu kwa njia ya mtandao, wakati wa semina...
0 Reactions
1 Replies
820 Views
naombeni mnisaidie iyo kitu kwani nmejaribu kugoogle ila option nazoletewa nashindwa elewa vizuri kwani nyengine sutup zao n kubwa mno mfano 1GB n.k naomba yenyewe isizidi 250...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Inazinduliwa kwa ajili ya Africa leo Johannesburg SA
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom