1. Kwanza kabisa Install Java then unainstall Proxifier na kuiregister.
UKISHAINSTALL proxifier nenda Profile ---- Advanced then click HTTP proxy server kama nilivyoonyesha kwenye image hapo...
Hello Guys, hope y'all r fine , i really need Product Keys of Windows 8 Enterprises, a problem is since i installed Windows 8 Enterprises in my laptop there is a message appear right at the bottom...
Nahitaji kuingia www.taa.go.tz, najibiwa hivi:
''Bandwidth Limit Exceeded
The server is temporarily unable to service your request due to the site owner reaching his/her bandwidth limit...
zangu zimekatika basi halifiki..nilikuwa natumia za basi jekundu ila dogo alilitia mdomoni limeingia mate halifanyi kazi tena so nna kibasi changu cha kijani hapa mwenye reli zake naomba msaada...
Msaada jamani,flash yangu nahisi itakuwa imeingia Virus,kinachotokea ni kwamba niki-click kwenye folder yoyote inanionyesha Empty,nikifungua files nyingine hazifunguki,nikijaribu ku-delete...
Habari.. Hili tatizo limeanza hv karibuni yani kila nikiwa nabrowse baada ya muda net inakata then mpaka nireboot ndio inarudisha network... Ni blacberry 9870.
Habari ya wana JF.
Natumai wkend ImeishA salama na tAyar kwa Shughuli za wk kuanza.
Ningependa kushare nanyi hii habari ya "Jinsi gani wenzetu wanavyoheshim upatikanaji habari kiasi chA...
wakuu wote wa jf kwanza hali zenu wote humu ndani naomba kuuliza suali
je kuna decoder ambayo inatumia internet cable badala ya kutumia dish na kupata chanel za aljazeera kwa wanao jua naomb...
Nina ipad hapa nataka niweze kutumia kupiga simu Kama zilivyo simu za kawaida bila kutumia Internet .nifanyeje
pia nitajieni apps za kudownload movie au video fasta kutoka YouTube *link...
msaada wakuu pc yangu ina hao wadudu yani kila partition wanacreat folder ndani ya folder zangu,nimejaribu kufanya window installation mara nyingi sana but hawatoki na wamefunga hadi partition za...
wataalam simu yangu (nokia x2-01) iliingia maji ikawa haiwaki, nikaipeleka kwa fundi ameiflash baada ya hapo imekua na tatizo jipya haitoi sauti wala vibration, itakua ndio imekufa au ni tatizo...
Wadau Salaam!!
Kuna jambo ningependa kufahamu maujanja ya namna gani naweza kutatua tatizo hili. For couple of days now, my Upload Speed kwangu imekuwa Higher than Download Speed! As far as I...
nina iphone 3g,ilikuwa na 4.1 firmware nikai upgrade to 4.2.1 na kuitumia sana tu,sasa nikataka kufuta kila kitu kwenye hii simu so nikabonyeza erace all,ikamaliza but ikagoma kuwaka ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.