Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salaamu, Nikiri kwamba kuna changamoto katika kujua simu gani bora ya kununua kwa ajili ya matumizi yako. Changamoto hizi zinatokana na sababu kadhaa, mfano; 1. Uwepo wa kampuni nyingi...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Habari wana JF, Kuna mdada fulani tulizoean hivi karibuni tu aliniazima simu yangu akidai kuwa simu yangu imezingua nimuazime kwa muda. Nilimuazima kama kwa siku 2 lakini cha ajabu jana...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu Namba maelekezo Kwa anae ijua Kampuni ya ads ambayo inaruhusu kuweka matangazo katika blog zenye Free domain. Nimekutana na Blog zenye Free domain ya Blog.com Jamaa wameweka ads Maisha...
0 Reactions
5 Replies
429 Views
Habari zenu wakuu ? Matumaini yangu mpo salama na afya njema!, Dhumuni la kuanzisha uzi huu ni kushare ujuzi tulio nao ili kuweza kufaidi chaneli za FTA kupitia sattelite mbalimbali, Tuanze na...
11 Reactions
229 Replies
79K Views
Habariiii viongozi baada ya kufikiria kwa sana nataka kuanzisha tovuti ambako watu wenye addiction mbalimbali watakutana na kujadili nini cha kufanya hasa kwa lugha yetu hadhimu Addiction kama...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari, mafaili ya ha tunnel yamekwisha expire.Msaaada nifanyeje?
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Nahitaji wireless earbuds ambazo zinaweza kaa na charge kwa muda mrefu. Lets say masaa 8-12. Kama unazifahamh please nijulishe. Na bei iwe rafiki tu ya kitanzania.maana nmeshanunua sana na...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Habari wana JF Naomba kufahamu ni wapi naweza pata mafunzo ya computer graphics online au phisical kwa mkoa wa Morogoro.... Nataka kujifunza muda wa ziada sababu mimi ni mtumishi wa umma... Asante
0 Reactions
3 Replies
700 Views
Habari. Ni hatua gani za kufuata kuanzisha forums. Kama Jamiiforums Nairaland Au Red it.
1 Reactions
4 Replies
376 Views
Habarini msaada simu yangu ya tecno pouvoir 3 air haipandishi mnara/data. Msaada nifanyeje?
0 Reactions
9 Replies
426 Views
ni Ipi hiyo Asa kwa electionics ya kuvaa ni zuri zaidi kuliko yenye stand msaaada pia naipata wapi
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Wakuu habari zenu. Bila shaka Mna furaha kwasababu Manchester united jana imeshinda. Nilikuwa naombi ambaye anaweza kunisaidia kufix ili Tatizo. Pc yangu Aina ya Dell latitude 4300 nikiplay...
0 Reactions
4 Replies
392 Views
Toleo jipya la WhatsApp (toleo la 2.23.1.23) katika mfumo wa majaribio (Beta); inaonekana app ya WhatsApp itaongeza emoji mpya kwa watumiaji wa Android. WhatsApp imeanza kuongeza emoji 21 katika...
0 Reactions
3 Replies
758 Views
Habarini wadau! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ni kuwa nikazichanga kidogo nikatafuta mziki wangu uwe unanifariji kidogo ni Sony nz950 watt 1000. Ajabu ni kuwa siku naunganisha mziki...
0 Reactions
48 Replies
41K Views
Tafadhali kwa mwenye pc yaina tajwa hapo chini anicheck. Core i3 RAM 4G Hard drive: 1t Inaweza DELL,HP au Lenovo. nikipata price ya hizo aina zote itakuwa sawa.
0 Reactions
1 Replies
281 Views
Jamani Mimi ni mwalimu by professional na nilipata kazi Ila nimeamua kuiacha maana sipo interested na ualimu kabisa , Ila nahitaji kujifunza Programming kwa manufaa yangu binafsi na kizazi changu...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Siku njema wana jf Nataka nihamie kwenye nyumba isiyo naumeme na kwasasa hali yangu kifedha si njema sana, Nahitaji mfumo wa solar utakaoniwezesha kuwasha taa 4, kuchaji simu na kuangalia tv...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu 🖐️, Kama ilivyo kwenye title hapo juu, naomba kwa mwenye kufahamu namna ya kuboost tangazo Facebook anipe maelekezo jinsi ya kufanya. Nawasilisha.
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari wana jamii forums poleni na majukumu, Mimi ni member Mpya na ni post yangu ya kwanza. Natamani kujifunza kitu kuhusu hili swala kwa wanaofahamu. Kwa Sasa gharama za bundle ziko juu sana...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hello experts, I am living in a place where there is a wifi from a certain company but it has a password and the company can't give me the password. I need help on how can i get the password of...
6 Reactions
70 Replies
5K Views
Back
Top Bottom