Nahitaji Battery preferably toka kwa mawakala wa HP aina ya Probook 45xx series.
Napenda kujua bei yake pia na mahali Lazima iwe Dsm.
Pia Windows 7 Iliyokuja na Laptop imepata shida na nahitaji...
Msaada jamani nawezaje kuiona CentOS server kwenye windows 7 kama workstation computer ambayo iko kwenye workgroup moja(note:lengo ni kuaccess shared folder lililopo kwenye Samba server)
Imekuwa kero na balaa kwa hizi decoder za DSTV mpya DSD 3U,kufa upande wa audio(Sauti),ndio tatizo linalokera saana,tofauti na decoder zile za awali kubwa na zenye cover la bati,mbaya zaidi...
He Did sign facebook account and used my email.
Khaa! I changed password. If you are a member here then come back with 10 reasons and I will take it back to you.
I will not misuse it but...
Jamani jamani nimefanya installation ya Windows 7 ultimate wiki iliyopita lakini cha ajabu ni kwamba computer imekata sauti kabisa, na pale chini kwenye taskbar speaker imewekewa alama ya X (X...
Wana JF naomba msaada wenu, mnisaidie CD_Key za Windows Vista Ultimate na Windows 7 Ultimate. Nina laptop ya kununua mkononi ambayo imezima OS ikinitaka niweke CD_Key kwa ajili ya ku-activate
NAHITAJI LAPTOP DELL/TOSHIBA CORE i7Nahitaji laptop iwe Dell au Toshiba
Core i7 processor
RAM min 4 gb
Naweza pata wapi kwa Dar?
Kama unauza nipe no ya simu.
Asanteni.
Wanabodi nisaidie, tablet yangu imegoma kuwaka nimejaribu kuicharge nikifikiri charge imeisha lakini bado haiwaki
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Wanajamii nadhani baadhi yetu tumesikia product ya shule direct ilivyotangazwa na kuzinduliwa na naibu waziri wa elimu. Hali iliyofanya kila mtu kua na ham ya kuona iyo innovative product. Sasa...
One of the biggest challenges a computer owner can face is getting rid of adware or spyware... Reuters, Feb. 9, 2004
Spyware defined:
Spyware is any application that tracks your online...
NIMEANGALIA TOVUTI HII Shugulika Recruitment
HALAFU NIKAONA HII jobs in Rwanda
JE SHUGULIKA AMBAO WAKO TANZANIA NDIO WAMEIBA KAZI YA GLOBALTARGET?
KAZI IPO
HELLOW,
WANA JAMII FORUM,
Good News kwa watu wenye magari hasa model za EUROPE,Nazo software za Repair(REPAIR MANUAL-PARTS CATALOG SOTWARES)
1-MERCEDES BENZ WIS-EPC GOOD FOR SHOP...
samahani watu wangu naomba kujua kama hzo cd za application mbalimbali kama "Operating system "
na "Back up " zinauzwa bei gan coz kuna mtu anataka kuniuzia nying xsana yeye hajui bei nami pia...
Wakuu katika pitapita zangu za kuhangaika na haya mashaka ya vingamuzi nimekutana na hz decoder used. Naomba mwenye uwelewa atusaidie ss IT alotupitia pembeni.
Kweli ukifunga huwa ni free
hazina...
Kwa sasa imekuwa ni fashion kwa wanunuzi wa laptop kulingishana kwa CORE na bei hupanda kulingana na CORE ya laptop ambazo ni 3 CORE, 5 CORE na hata 11 CORE.. Mi nashauri ni vizuri sana kununua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.