Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau natumia kasymbian 40 nokia c 3-00 ila nataka kuifanyia restoration bt nmesahau password msaada plz kama naweza kuiweka sawa maana settng zimekaa ovyo sana natanguliza shukran
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Jamani nimeshindwa kutoa I kwenye Tv ili iwe Bg au Dk kwa maana inapiga kelele sana ila picha iko fresh. Tv ni aina ya maxwell. MENU SOUND PICTURE FEATURE INTALLATION PROGRAMME SOUND...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Habari za mihangaiko wakuu, ninaomba msaada wenu juu ya hii technologia , unajua ni vizuri kujifunza mambo mbali mbali , kuna kaz nimeapply na wamenambia lazma ni jue joomla, sasa naomba japo...
0 Reactions
3 Replies
851 Views
Jamani najua kuuliza ni ujinga ndio maana nahitaji kueleweshwa ili niondokane na ujinga! Mimi ni mpenzi sana wa google map,ila kuna kitu kinanichanganya sana.Kwamba je,ni nani anawapa hawa jamaa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji laptop iwe Dell au Toshiba Core i7 processor RAM min 4 gb Naweza pata wapi kwa Dar? Kama unauza nipe no ya simu. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Naomba msaada jinsi ya kutoa "This copy of window is not geniune",manualy bila kutumia software . Kwa sorfware najua ,nataka kuongeza ujuzi. Natumia win 7. Natanguliza shukrani
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari waungwana! Naomba kufahamu kama kuna software yoyote ninaweza kuinstall kwa Laptop yangu ambayo inaweza kuaccess 3G kwa huku kijijini ambako huduma za 3G hakuna. AU Kama kuna Apps zozote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wakuu...Mwenye link ambayo ni rahisi kudownload hii software naomba anisaidie. Maana nimehangaika kutwa nzima nadownload vitu vya ajabu...! Natanguliza shukrani.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nijitoe vipi (unsubscribe) kutoka huduma ya Tigo ya Tano Pack?
0 Reactions
1 Replies
908 Views
Wakuu nmenunua kablack berry curve kwa jamaa hapa ila jinsi ya kuunga net ndo inantoa kijasho maana jamaa alifunga service zote km vle watsapp n.k nimeweka kifurush cha bb intrnt ila bado haitaki...
0 Reactions
2 Replies
753 Views
wadau wenzangu nilikuwa nauliza kama kuna mtu ambaye anajua kutengeneza vitu vya 3d kama magari au chumba anisaidie kuniambia program ambayo anatumiaga nina project kubwa n nimekwama kwenye hilo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Natumia simu ya Blackberry kwenye maswala ya internet, Huduma za Blackberry internet zipo juu sana ukilinganisha na huduma za kawaida za simu nyingine. Naomba msaada wenu kama kuna namna ya...
0 Reactions
4 Replies
927 Views
HACKERS WAIBOMOA WEBSITE YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM -( UDSM ) NA KUUJAZA MATANGAZO YA NGONO Leo mchana, mtandao wa chuo kikuu cha Dar es salaam uliingiliwa na mahackers na...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Habarini wakuu! ebana mimi nawaombeni mnisaidie prog ya adobe photoshop 7 au related adobe photoshop, au link itakayoniwezesha kuipata full na sio trial! natanguliza shukrani wadau! :yo:
0 Reactions
2 Replies
777 Views
Website yawekewa site za ngono ENDELEA KUSOMA Where are we Heading 2?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi hio wajanja night unaweza ukadownload torrents ? Naombeni mssada kama kuna m2 anajua
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Itakuwa na uwezo wa kucapture picha kwA quality ya 5 mega pixel,kwa uapnde wa video itakuwa ina video resolution ya 720p,itakuwa na storage capacity ya 12 GB of usable memory, synced with Google...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Wapi zinapatikana
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau na mdogo wangu nataka nimpeleke chuo akasome diploma ya IT..ni chuo gani bora katika fani hiyo?
0 Reactions
2 Replies
868 Views
Nime install windows 8 kwenye hp laptop imekubali ila nilipo restart laptop ina load mpaka kwenye sehemu ya kuleta kiji mshale cha startup haiji yani nasubiri mpka basi nisaidieni wadau
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Back
Top Bottom