Salaam, wakuu.
Ninahitaji fundi wa printer (copier machine), aina ya konica minolta bizhub,na xerox work force
nipo dar es salaam, nicheki kwa 0762 490 080.
Asanteni.
Habari wanajf.naombeni msaada kama kuna software ya kuifanya smartcad ya dstv inafanye kazi kwenye mpeg4 4669xii nikiilipia hiyo kadi.kwani nina kadi ya dstv ila sina decorder yao.msaada tafadhari...
Kwa wenye uelewa tafadhali. Naomba ushauri pia juu ya kununua mpya au used kwa bei hiyo. Ikiwa kuna swali nitaweza kulijibu.
Pia ikiwa kuna maelezo ya ziada kuhusu swala hilo la video kamera pia...
New Mars Photos May Reveal 1970s Soviet LanderBy Clara Moskowitz | SPACE.com 11 hrs ago
Email
Share
Print
View PhotoSPACE.com/NASA/JPL-Caltech/Univ. of Arizona - This set of...
habarg wajf natumia laptop aina ya dell latitude D630 inauwezo wa sim card ila siwezi kuitumia ninaomba msaada kwa anayejua ni program gani naweza tumia kuconnect na intanet
Naombeni msaada wenu kwa anayejua,hivi ni kweli uchezaji wa games kama pess,fifa na ma game mengineyo kwenye pc kunasababisha matatizo kwenye pc? Kwa sababu kuna maneno yameenea kwamba kucheza...
Tafadhali mwenye kufaham jinsi ya kuzipata contacts za cm (iphone) iliyopotea through icloud naomba msaada na kama inawezekana kuzipata kw kutumia device nyingne zaid ya zile za Apple. Ntashkuru
Eti jamani inawezekana kuendelea kudownload na kustream hata kma bando lako limeisha mfano lile la siku la 500 unapewa unlimited lakini ukifika mb kazaa unaambiwa kifurushi kimekwisha.kama mtu...
Hii Bundle ya Voda One week Unlimited kwa 10,000/-
Naomba kujua inakuwa na Ujazo gani!?? Nauliza hivyo kwa sababu niliinunua juzi, siku za mwanzo ikawa inanipa maspeed ya Ajabu hadi 3.8Mbps...
Acheni kushabikia mambo ambayo hayajakizi kiwango ama havina hadhi ambayo jamii ingetaraji,niliposikia shuledirect.com inapewa promo na Clouds fm na kua imezinduliwa na waziri wa elimu akisema...
Wadau naombeni mnisaidie kuna baadhi ya Number sitaki zikinipigia wala kuniandikia SMS zinipate natumia program gani,, niliambiwa kuwa watu wanaotumia samsung galax wanaweza fanya hii kitu ila...
Inahitajika hii Router kwa Yoyote mwenye Nayo ikiwa katika hali nzuri. Offer yangu ni 160,000
Mwenye Nayo ani PM Haraka.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ndugu zangu naombeni msaada kutoka kwa yeyeto mwenye kufamu juu ya hli,modem yangu nikiiplug tu kwenye mashine ina soma na sim inserted or niweka ambayo sio ya airtel. Sasa tatizo hli limeninyima...
Wadau naomba msaada hapa najua mna roho za kiungwana bila kukejeri nilitumia bb 8520 mwanzo bila tatizo mpaka nilipoibiwa uswahilini bila kugundua, nimehangaika nikapata pesa kiasi nimeingia...
Wakuu nataka nifungue website yangu,ambayo imekaa kibiashara zaidi,sasa mpaka leo sijajua methods nzuri za kuwa paid online,,nimeona paypal hawa support payment kuwa received when in Tanzania
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.