Digsby ni app nzuri sana ya pc inakuruhusu kuconnect account zako za email, IM(Instant Messaging) na social networks kwa pamoja.
E-Mail: hapa utapata notification ya email muda inapoingia(lakini...
Natumaini wengi wetu humu ndani wanasoma it na wengine wanataka kuingia it na wengine wanaangalia tu, kimsingi soko la kazi za it hapa bongo bado sio zio zuri sana since hatupo compatible sana...
Wakuu naomben kujua n jins gan ya kuingia kwenye comand line inteface bila kulog in kwenye computer, na je n jinsi gan naweze kunavigate kutoka local disc C kwenda disc nyngne?
:phone:
Wakuu msaada kwa anayejua jinsi ya kuifanya modem ya aitrtel ZTE MF190 iweze kusupport call services,
Nimejaribu kuidownload na kutumia Metfone 3g, But nayo ipo vilevile tu kama...
Wadau na magwiji wa Jukwaa hili , salaam!
Kwa muda mrefu nakoseshwa raha na Cursor kwenye Laptop yangu! Sina uhakika ni jambo la kawaida kwa Laptop zote au ni kwangu tu! A year ago niliwahi kuleta...
Habari zenu wadau napenda ku share nanyi hii web site TechVideos.com - Learn Photoshop, Flash, Word, Excel, videos coz ina video ambazo unaweza kujifumba mambo mazuri kama, Ms office, Adobe...
Salamu wana JF, ninaomba kujua kwa mtumiaji wa decoda ya DIGITEK. Ni channel zipi zinazopatikana? Maana me sijui kabisa :A S 39: Natanguliza Shukrani..
Nataka kujaribu hii kitu kama itawezekana coz kuna external hdd yangu iliungua nataka kuangalia vitu vilivyomo ndani pc nayotumia ni sata kwa hiyo nataka nichomoe waya unaokwenda kwenye dvd rom...
habari..
Najaribu kuisakua new times roman katika office 07 but siipati..
Wapi naitoa..?
Maana font inayokuja ni calibri(body)
je nikii download naiinstall vipi??
i noticed some new watch technologies of AtomTime. seem pretty cool. wanna share with u guys.
first is internet can bring accurate time to the watch. there is a free software and app. just open...
NA MANDASI BILLIONAIRE
MANDASI BILLIONAIRE: Download Usb Disc Security Latest Version With Username and Serial Key
USB Disk Security 6.2.0.18 Final Version
USB Disk Security 6.2.0.18...
Wakuu nimeona ni share na nyie haka ka sowtware
kafungue kawaida,na siku zote katafungua home page yake kwa ku2mia explorer,na hiyo home page itatumika ku-surf internet kama search engine
Kwa...
Wakuu msaada hapo ,je DRIVER PACK Itasaidia hapo?
Na kama itasaidia basi nijuzeni jinsi ya ku2mia hii driver Pack kama unayo katika format ya ISO IMAGE,hapa naamanisha bila ku-burn kenye cd...
Wadau wa jukwaa hili na JF kiujumla mimi mwenzenu nina shida na keys hizo Windows hii ni tamu sana.Tafadhali naomba waungwana kama unaogopa uharamia fanya kuniPM.NATANGULIZA SHUKRANI KWENU.
Naombeni msaada kwa anayefahamu Application za Ki-Teknolojia na elektroniki?, mf cnet.com nk ambazo naweza kudownload na kisha kupata habari mbalimbalinza li teknolojia. Natanguliza shukraaani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.