Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Samsung Engineering Academy Aimed at addressing the critical technical and engineering skills shortage in Africa, in 2011, Samsung launched its Samsung Electronics...
1 Reactions
3 Replies
870 Views
Kwa mfano ukinunua voda ya unlimited siku 7 (10,000/=) spidi inashushwa baada ya kukamua 2GB, sasa nahitaji kujua ya siku 30(30,000/=) inashushwa baada ya kiasi gani? Ahsante
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Today I'm gonna show you a tutorial about Microsoft Windows 8 app timeline cover creator for your see more
0 Reactions
0 Replies
862 Views
26/03/2013 "Una wazo la kiteknolojia? Unataka kutengeza utajiri ukiwa ungali mdogo? We fanya tu" hayo ni maneno ya bwana mdogo Nick D'Aloisio mwenye umri wa miaka 17 ambayo aliyoyasema katika...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu pc angu imekata sound ilihali settings zote za sound/volume ziko sawa, naomba msaada au ndo ishakuwa "sekerepa?" Ni dell latitude D620. Natanguliza shukrani za dhati.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mitihani ya 640-822 ICND1, 640-816 ICND2 na 640-802 CCNA mwisho kuifanya September 30 baada ya hapo yote inabadilishwa na syllabus mpya. Pia kwanzia sasa hakuna haja ya kupata CCNA kabla ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu nisaidieni hapo siku zote niki download video from youtube inakuwa ktk format ya FLV ambayo mi sitaki nataka mp4 nisaidieni hapo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Perhaps you are afraid of any mail that you don't understand and perhaps you applied for scholar or you wonder if God have done a miracle for you to be rich. Spams and Scams are becoming a new...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnisaidie jins ya kusoma pdf files kwa kutumia cm yangu ya blackberry kama inawezekana, With jamii forums everythin z possible!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wataalam wa mambo haya naomba msaada niweze kudownload hii video kwa simu yangu nokia e71, hii hap ni link ya hiyo video hiyo nifanyeje wadau hapa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nasikitika sana kuona wanajenga vituo, vingi magomeni mapipa hadi ubungo, si chini ya vituo 8 ama 9...hivi huu uharibifu ni kujenga kweli? naomba mawazo, labdasijui kitu
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wadau aliyewai kuitumia hiyo program kwenye smartphone. Je, inachaji vyema? Ushauri pls! Kabla sijaipakua kutoka kwenye Google play store.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Have you deleted your important files permanently from your computer? Here I'll give you a powerful data recovery software . It's fully free !! bofya hapa
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nilikuwa nimejiunga na BBM kupitia mtandao wa Tgo,nikapata dharura ya kama wiki 3 sikuwa natumia hii huduma,Sasa tokea jana usiku najiunga tena inanipatia hii msg"Ndugu mteja wa Tgo...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
ndugu wanajmvi wenzanguu naombeni msaada nina ipod 80gb yani nilichomeka kwenye laptop kuweka video ikaconect kwa muda mfupi halafu ikakata sasa nikiiwasha inablink tu mpaka chaji inaisha haiwaki...
0 Reactions
2 Replies
793 Views
Habari wakuu, Me nna swali hapa. Samsung wanatabia ya kutoa smartphone then later wana release product kama ile ile but wanaweka ubini wa "mini". Mfano hizi nilizosoma gsmarena dot com kua S-IV...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
huu mkongo wa taifa wa mawasiliano je umeanza kutumika? Kama ndio kuna tofauti gan na mwanzo kabla haujaanza kutumika! Wanaofaham watujuze
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba unitupie hapa au kwa PM (vyovyote iwezekanavyo) unlock code ya modem ya airtel- ZTE MF 190, IMEI yake ni: 86570018993243. Natanguliza shukrani, A Father.
0 Reactions
4 Replies
827 Views
Nokia research centre ya cambridge uingereza wametangaza kua wamegundua njia ya kuifanya simu ikae standby milele na milele. Na hii inatokana na kutumia energy inayozunguka minara ya simu, redio...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Blogu hii iko wazi kwa wasomaji walioalikwa pekee Huwa naingia mara kwa mara katika .blogspot bila tatizo lakini wakati mwingine unakuta huwezi kuingia na unakutana na meseji hiyo hapo juu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom