Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ni siku ya tatu leo watu wa Tarime tunalazimishwa kula konokono na ni njia mojawapo ya kumuumiza mteja. Voda mnatuuzia bundle lakini kuzitumia hakuna. Speed kb500/day
0 Reactions
16 Replies
3K Views
habari wadau, nnataka kustream tukio kutoka kwenye kompyuta yangu kupitia ustream. nimeweza kustream kwa webcam ila sitatumia webcam, nnachotaka ni kama kustream kipindi cha tv live. nime...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaji hiyo display simu iliingia maji
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Medical database. Niweze kuweka short history of a patient, kuinclude Xray picture na ikiwezekana picha ya mgonjwa. diagnosis (tatizo la ugonjwa wake) matibabu, medical or surgical treatment...
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Natanguliza shukrani zangu kwa wanajf.tatizo nililonalo ni kuwa kuna jamaa anataka kuniuzia software cable ya avatar dongle na amesema inatumika kwa mwaka mmoja.wasiwasi wangu ni kuwa mbona kuna...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakubwa xamahan xana naomba mnixaidie nahitaji mxaada wenu waku un-lock modem hii ya zte specification hizi hapa HSUPA USA stick. MODEL:MF190 EAN:6934933034433...
0 Reactions
4 Replies
949 Views
nisaidieni keys za card recovery INTERNET DOWNLOAD MANAGER (IDM) pamoja na WINZIP mwenye nazo nisaidie please
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Dah,.... nashindwa kupangilia table... ila left ni window 7 na right ni window 8..... ila kwa comparison hizo window 8 ni nzuri sana kwa kwenye startup, shut up, na ina features nyingine nzuri...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu nimetafuta google nimekosa nimeenda kwenye website yao nimeshindwa kupata kabisa naomba mwenye link ya hii kitu anisaidie jamani...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Wataalamu wa mambo mpo aisee.. Ebana natafuta Desktop ya kuzugia ghetoni apa kwa ajili ya surfing, movie na mziki kidogo ni sukume siku. Iwe ya spec za chini tu coz kaela changu kadogo sema cha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani naomba msaada mac book yangu ninapo washa haimalizi inaishia kati inaleta logo ya apple halafu inazima hili tatizo lishawahi kunitokezea kwa bahati nilikua na zile cd zake nilizonunulia za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimefurahishwa na ubunifu wa shirika la simu la Airtel...kweli mambo haya yapo ugaibuni ila ni vizuri Airtel kutuletea na sisi.... Yaani kwa sasa Tigo napokea tuu simu, ila kupiga ni airtel tuu...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Naweza vp kuchora tree diagram kwamfano kuonyesha mfumo wa utawala kuonyesha kwa mishale naweza chora vp?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Helo,jameni memory card yangu inaonekana kwny storage setngs but contents zake hazionekani,nkitaka kuplay music naona tu zile nilizohamishiwa kwa bluetooth zngne czioni,ni htc desire C, yeyote...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
habari wana jf kwa mwenye ujuzi wa kuongeza ukubwa wa movie naomba anisaidie. Nina TV aina ya sony flat scream inch 14 inauwezo wa kusoma flash disc but kwenye format ya MPEG tatizo ninapo convert...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba mnijuze mtu anayeuza motherboard za Dell model hiyo na bei zake
0 Reactions
0 Replies
868 Views
20/03/2013 Google wametoa app mpya inayojulikana kama Google Keep. App hiyo ni kwa ajili ya kuandikia vidokezo (notes) kwenye simu au tableti za Android. Hii itasaidia watumiaji wa OS hiyo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, Naombeni msaada, nauliza kama kuna hii kitu: Jamiiforums Messenger for Window 7 ili niweze kudownload, naona kuna for androids specifically for mobile users. Sasa mi natamani niidownload...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Uchunguzi uliofanywa na wanasayansi umeonesha kwamba mwanga unaotolewa na ipad wakat unopotumia hasa ni wakati wa usiku unafanya mtumiaji kukosa usingizi nakumchochea mtumiaji aendelee kutumia,
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Back
Top Bottom