Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Natengeneza website kutumia drupal, itakuwa na videos ndani yake na naziupload kutoka kwenye server (sio you tube,vimeo etc) Nimeshainstall module zote za kuupload na kuonyesha video na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau tatizo ni service providers wetu au ni simu za Blackberry zinasumbua kwenye internet,maana haipiti siku 2 au 3 utaambiwa kuna tatizo la mtandao,mwenye kujua atujuze bana ikiwezekana tuachane...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu humu. Naombeni msaada kwa anayeweza kuniambia IP address hii 109.163.231.236 ni web gani? Thanks
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hey friends,,, kuna hii windows VERSION mpya windows 7 X4 NAIONA IME2LIA HEB ICHEKI HAPAWindows 7 X4 (New Edition Jan 2013) x86 Full Activated ngoja niitest mm kwnza thn ntaleta feedback...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Natumia simu ya Tecno N3,je naweza kuangalia chanels zilizopo kwenye Dstv kwani nimeinstall apps ya Dstv nikifungua inaniambia com.problem see service provider,pili bluetooth ninapo pair na simu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
laptop yangu ina display '' THERE IS NO DISK IN DRIVE. PLEASE INSERT A DISK INTO A DRIVE''. Hii inakuja wakati wa kuwasha au kuzima laptop
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Katika sehemu hii ya pili tutazungumzia koti linalovalishwa kwenye Android ambayo hutolewa na kutumika kwenye simu za High Technology Computers (HTC). Toleo jipya kabisa ni lile lililotumika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
i am new to php scripting.I have created a login page. but all other registered users are accessing only one member access page. I want to make a script that will allow members to login to their...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nataka TOSHIBA yangu iwe na MAC OS X na ifanye kazi na features za mac, nifanyeje? (Mzizimkavu) upo??? saidia mkuu.
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Habari wakuu nna xbox 360 lkn inawaka zile taa nyekundu. Vipi kuna fundi wa kufanya kazi at instant? Na kwa bei gani
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wataalam nijuzeni hii kitu,kwenye hizi move za kijasusi(e.g XIII the conspiracy) uwa anaonyeshwa mtu(hacker) akiinglia system za watu wengine kisha wenyewe wanajua na kumfata exactly where he/she...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
1.Inawaka taa ya njano tu. 2. Ikikaa masaa mengi inawaka lakini feni inayoelekea ya Heatsink inazunguka kwa spidi kali hatimaye inazima. 3. Ikikaa siku siku nzima wakati mwingine huwa inakubali...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Msaada wana JF! Ni wapi naweza kupata portable air conditioners hapa TZ
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wakuu,heshima mbele wana gadget! naomba kujuzwa namna ya kublock matangazo ya biashara yanayoingia ktk account yangu ya gmail.matangazo hayo yanatumwa na google group moja nilijiunga nayo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nataka kuifanya laptop ya hp ionekane kama mac os nifanye maujan
0 Reactions
2 Replies
705 Views
Wadau naomba ushauri mana nimenunua laptop aina ya apple mackbook nikaambia kuwa siga kubwa za laptop hiz ni kuwa haziingii virus na nikashawishika kununua nikikwepa adha ya ku-update antivirus...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi nina verizon BlackBerry ilikuwa na matatatizo ya fuatayo Moja nilikuwa siwezi kuulizia salio nikiwa namaana ya kutumia key hizi *102#au kuingiza pesa kwakutumia key hizi *104# nimepata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwanza natanguliza shukran zangu kwa wanajamvi woote wenye moyo wa kutusaidia kimawazo na kielim. mm nifundi umeme wa magari kutokana na magari ya sasa kuwa yamekaa kidigital [technologia] zaidi...
0 Reactions
1 Replies
997 Views
wadau meweka memory card ya 2 GB kwenye simu nokia asha 303...lakini simu inakua nzito na inafanya kazi taratibu mno eg kufungua files hata kwenye kutumia internet...nini tatizo?na nifanyeje...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Habari zenu Waungwana. Nahitaji kununua Photocopy Machine na Printer kwa ajili ya biashara ya stationary. Naomba mnisaidie, ni aina gani ya vifaa hivi ni bora na Imara kwa kufanyia biashara hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom