Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kampuni ya MMP ARCHITECTURES (iliyopo mwenge na inajihusisha na uhandisi*ubunifu majengo )inayofura kutangaza kuwa muda wa maombi umesogezwa paka tarehe 27/03/2013. Kumbuka nafasi ni moja tu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau nimefunga ku band mbele ya c band ya local channel naomben frequency na symbol rate na satelite pia ya channel ninazoweza pata kwa position hyo natumia media com 930+
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu zangu kuanzia feb 10 kifurushi cha 400mb kitafutwa rasmi na kuanzishwa kipya cha 500mb kwa TShs 3500 na kitatumika kwa siku 10 tu. Najiuliza lengo la mkongo wa taifa ni kupunguza gharama za...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu?kuna hii browser Torch imekaa poa ukiwa youtube unadownload moja kwa moja na ku save kwenye computer yako hauhitaji software ya kudownload kutoka youtube pia ina torrent moja kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, Kila ninapopiga simu kutumia line ya Tigo kuna meseji hii inatokea kabla ya kuunganishwa: "Conditional forwarding activated". Ni zaidi ya miezi miwili au mitatu sasa tangu meseji hii ianze...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
wakuu kama kawaida sisi wengine tupo mikoani, na huku simu kama htc kuzipata ni nadra sana...nataka mnieleze nitapata wapi htc Desire c na desire x naamini hizi hazizidi laki tano..kama kutakua na...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
19/03/2013 Teknolojia inaelekea kwenye gajeti za kuvaa, miongoni mwa gajeti hizo Saa ya Pebble ni saa ya kimtindo. Ni saa inalenga wana-teknolojia kama watumiaji wake. Saa hii sio tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
19/03/2013 Teknolojia huwa na mwenendo wa kuchukua mkondo mithili mawimbi baharini yanavyokuwa na muelekeo mmoja kwa kila wakati fulani. Kwa sasa gajeti za kuvaa (wearable tech) ndio mkondo mpya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hv samsung 5620 ni smartphone na pia smartphone unaijuaje? na pia inasaport whatsapp
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Wana Jf wenzangu,umri kidogo umenipita nakaribia miaka 50 sasa,nimebahatika kupata zawadi kiji-Laptop na sina taaluma ya kutosha zaidi ya kufungua Fb na E-mail,huwa najisikia unyonge sana...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Nikiiweka kwenye simu yangu na zinginezo za marafiki zangu inakuwa katika kiholanzi.Nimejaribu kuweka line za airtel za wenzangu kwenye simu yangu,lugha inakuwa english bila matatizo.Sijui ina...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Je wapi kuna mtu mbunifu wa techologia hata ya kukopi kwa wazungu na hana msaada ? tuwasiliane kwa email nnaxee@yahoo.com Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nauza laptop yangu...core i3 @2.5ghz,640gb hdd,4gb ram....nauza 600000 nipo arusha contacts 0715955896 check me,laptop ipo in gud condition na ni sony vaio screen 15.6 inches
0 Reactions
0 Replies
581 Views
ninahitaji sana msaada wako...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Imekuwa inatokea mara kwa mara kwa hivi ving'amuzi vya Zuku kila mvua inyeshapo hasa iwe na upepo /radi au mvua kubwa basi vinakuwa ni kukwama hadi basi, ni kama upo disco ambapo DJ ana scratch Cd...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari za kazi watanzania tunaoitakia mema nchi yetu kiujumla. Napenda kusema yafuatayo kuhusiana na mjadala wa tukio hili la kipropaganda la kutekwa na kuteswa bwana kabanda. Nimekuwa napenda...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,naombeni msaada jamani hata wa kimawazo pc yangu imepatwa na tatizo la ajabu,ni kwamba ukiwasha ikija sehemu ya kulog in ukitaka kutype password mouse na keybord vyote havifanyi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, Ninapokua natumia PC (DELL) ghafla kila kitu kinapotea then yanakuja maandishi( preparing to configure windows.. Do not turn off your computer) tatizo ni nini na nafwata njia sahihi za...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wakuu mara kadhaa najaribu kuipitia link yetu pendwa ya http://kat.ph/ but naona ipo chali je washaifanyizia nini hawa kina Millah ?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom