Hebu leo tuachaneni na android, ios, symbian na windows phone tumwangalie mrembo mpya kigoli firefox os ambaye ni os mpya ya simu itayoingia sokoni mwanzoni mwa mwaka 2013.
NI NANI FIREFOX OS...
Kuendelea kwa Website za Forum kunapelekea Uendeleaji wa Technologia ya Internet Tanzania sasa,Na hatimaye nimetokezea kupenda mfumo huu, na sasa wapsite mpya ya forum imetoka ya friend wangu...
leo ndo simu inazinduliwa ntawapa hints kidogo za hii simu kwa wale wanaopenda htc. Hii ndo simu itakayodetermine uwepo wao kwenye competititon ya smartphone.
boom sound
htc wamezindua feature...
Samsung imeanza kutoa mwaliko kwa wanateknolojia na waandishi wa habari kwa ajili ya uzinduzi wa simu yao kuu yaani Samsung Galaxy S toleo la 4. Si kawaida kwa Samsung kutoa mwaliko katika tukio...
Habari wanaJF,
naombeni kujua ni jinsi gani naweza kubypass login screen na kuaccess system as an administrator in linux based system kama fedora..
password ya administrator imesahaulika..
Haya Kwa Wale bado wanatumia Windows XP jifunzeni namna ya ku Format Windows XP fuatilia hapa chini picha
How To Format And Install Windows XP?
Windows XP is one the most commonly used...
King'amuzi hiki kimekua kero afadhari hata ningekuwa nje ya mji sasa katikati kila wakati ni no service mara picha zigande kwa kweli kama ndio digital hii nawataka analog iwashe haraka sio kila...
wakuu hivi hakuna app yoyote ya android inayorusha matangazo ya TVs za kibongo, maana wakati mwingine wengine tunakuwa mbali na tv ukizingatia tena mambo ya vingamuzi basi shida tu. wanaojua...
kama we ni mpenzi wa simu ambazo sio smartphone, simu ndogo zinazokaa na charge simu ambazo ni rahisi kutumia basi hizi zinakuhusu, leo katika tamasha la mobile world congress nokia wamezindua...
Wadau ningependa mnifahamishe nini maana ya java programing language! Afu nilikua napenda kujifunza hicho kitu tatizo sijui hata pa kuanzia! Naomben msaada wenu!
Habari za wakati huu wakuu wote.
Nimekamilisha hatua ya kwanza katika kudesign website/blog yangu binafsi (personal blog). Nawakaribisha mje tu-blog pamoja pia mtowe maoni juu ya muonekano wake...
Salaam,
Napenda kufahamu kuhusu Google Maps.
1. Nani anamiliki/simamia/ratibu Google maps?
2. Huwa inaboreshwa?
3. Kama jibu ni ndio; Maboresho yanafanyika kila baada ya muda gani?
Huwa napenda...
samahani sana naomba mnisaidie maana kila nikilogin OLAS site(HESLB) kuna msg
"A Database Error Occurred
Error Number: 1146
Table 'olashes_olas.prospectivetracker' doesn't exist
SELECT *...
wakuu heshima kwenu,
ni wazi kuwa excel ina mambo mengi ambayo si rahisi kujua yote,
kwa yeyote anayefahamu ni formula gani nnaweza kutumia ikatofautisha data zilizoko kwenye sheet 1 na sheet 2...
Nnamatumain muwazima wana jf,
natumia modem ya voda, juzi nimeinstal window3 lakin inagoma kufungua internet, tatizo laweza kuwa n nn? msaada wenu wapendwa.
Habari za kwenu wanaJF,
Nimekuwa nikitumia iphone 3gs kwa muda kidogo. Ilikuwa locked wakati nimeipata but nikaupdate to ios 5.1.1 na kuiunlock. sasa hivi karibuni cydia ilicrash.kila nikitaka...
It's a big day for Microsoft. It has launch the most important product windows 8 . Besides, people also can see
windows 8 pro, windows 8 enterprise edition, windows 8 RT and deliver Surface RT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.