Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
jaman habari zenu wanajamvii mie natatizo hapa, nimenunua blackberry storm verzon, kila kitu inafanya kazi vizuri kasoro internet.....nikitaka kuingia kwenye internet inaleta message inase " your...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu kuna ki2 strange kinafanya nihic laptop ipo hacked mana kila nikikonect modem nackia milio ya clicks kwenye maefail afu ndo upload speed inakua kubwa sana hata ncpofanya network activity...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hello wadau,.. yeyote mwenye kujua wapi ntapata brand new Digital Camera (iwe SONY) anijulishe & bei ikibidi. Nipo Dar,.. Contacts: 0769741223 au niPM
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau nina tatizo na Laptop yangu ina zingua sana inakuwa inazima na kujiwasha na kisha inaleta blue screen na maandishi mengi sna kisha ikitulia inafanya kazi wakat mwingine inaleta mistari...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Naomba mnisaidia na kunielimisha ni jinsi gani naweza kucreate webpage itakayomruhusu mtumiaji aweze kuangalia video online pamoja na kudownload hizo video na baadhi ya files...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natumia Nokia X2-01 nikitaka kudownload appliations kwenye simu inaload halafu inaniambia NO SERVICE ila nikitumia Operamin naweza kudownload music na picha bila matatizo.Inakuaje hapa?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je? kuna uwezekano ukaikopi window na ukaiweka kwenye flash na ukatumia kuboost computer kama vile ukiboost kwa kutumia CD?
0 Reactions
3 Replies
703 Views
Aje wakuu, i think am unbeatable kwa fifa 13 wakuu. nimefunga watu 20 with a record of no losing or draw,20 in a row. so kama kuna mkuu anataka kujaribu mpambano ruksa, then kwa wanaohitaji pc...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari, naombeni mnisaidie .. Kitu cha youtube downloader kinazengua kudownload katika kimeo changu(specifically N97 mini) na haijawh kubali tokea nianze kujaribu kuitumia.. Ni ile ya picobrothers
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kuna tofauti kati ya Receiver za MPGE4 na MediaCom? Kama ipo nipi? Na ipi receiver nzuri kati ya hizo tajwa? Thanks in advance!
0 Reactions
0 Replies
933 Views
wakuu hiv hiz symbian 5230 hazina app. ya kuunzip app. ambazo zipo zipped maana kwa symbian kama E65, E71, & E75 naona zina hii app. Maana smtimes nkidownload app. kwa kutumia Operamini naikuta...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina sim card ya Voda, hapo mwanzo ilikua haikubali ninapo jaribu ku connect kwenye Internet, baada ya mwaka kupita imekubali ku connect na haili bundle wala pesa ninapo Browse website au ku...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
DELL STREAK 7 wifi+4G (16GB internal memory) 7.9 inches screen ni mpya imefunguliwa box kwa kuupgrade os to android 3.2 na kui root ili uweze kuinstall kitu chochote kile na kuweza kutumia skype...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Habari zenu wakuu. Ninaomba msaada wa namna ya kuinstall WhatsApp kwenye Sony Ericsson WT13i maana nimeshindwa kuelewa kama ni Android, window, ipad, iphone n.k. Nimejaribu options zote lakini...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
guys is it possible to create extra RAM either on a flash disk or a CD. if there is a way to do that plz help me.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
sio siri wana2nyanyasa ki2 kidogo 2 bei juu tena ukija kuchukua top yako vifaa wanakubadilishia kama hawana akili nzuri una 4gb ram unakuta 512 mb kama mshamba ndo utaamin wanakwambia eti virus...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni takribani siku nne sasa mtandao wa vodacom imekua ni kero kubwa sana Kigoma mjini. Simu hazitoki kabsa jamani na watu wanalalamika sana. Mimi nataka kujua kwa wahusika tatizo ni nini? Kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani mwenye uelewa wa sunforce solar anijuze sifa zake na kama zinapatikana tanzania aniambie bei yake kwa watt 100
0 Reactions
2 Replies
801 Views
wakubwa laptop inaonyesha cpu usage ni 100 percent alafu inakuwa too slow ku respond. Inakuwaje na nini nifanye irudi kuwa normal?
0 Reactions
2 Replies
937 Views
Jaman laptop yangu ina matatizo ya window,sasa najarib kuboost kwa kuweka CD mbalimbali za windows huwa haikubali na nikajaribu kureboost kwa window ileile ya zaman ikakubal sema haikumaliza kwan...
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Back
Top Bottom