Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
hi wana jf Nimekuwa nikisoma topic za jf, Ama kweli jf ni website ya watu na heshima zao, ila mm nimekuja na wazo langu, mm ni graduate bed computer science niko kilimanjaro nimeajiriwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Guyz hebu nisaidieni wapi hawa majamaa wa easytv wanapatikana?
0 Reactions
1 Replies
811 Views
New links for BBM7 - http://byobb.in/2012/12/blackberry-messenger-7-download-now-ota-links/ Download before this gets down :) If link opens as text, Clear browser cache and retry
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Eti ni kweli kuwa dunia itafika mwisho wake kwa kupondwa pondwa na jiwe kubwa ambalo lipo huko angani.Na wanasayansi wanafanya juhudi kulizuia??? Kama kuna watu wanajua juu ya hlo atujuze...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Naomba wana JF mnisaidie katika hili kwani sielewi baada ya kupigiwa simu na jamaa yangu akiniambiwa kuwa ametumiwa ujumbe kupitia yahoo, akiambiwa kuwa nimeibiwa mali zangu wakati nikitoka safari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kabla iphone 5 haijaisha ladha tayari kumeshaanza rumours nyengine za iphone 5s je kunani apple? Leo asubuhi nilikua napitia habari fulani theverge walikua wameandika kua polisi nchini...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Nime download google kupitia window 8 store ila kwenye desktop siioni ila kwenye start program ipo nifanyanyaje nione kwenye desktop
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Configuration ya intaneti simu yangu ni,SAMSUNG ACE GALAXY GT-S5830.help please.
0 Reactions
11 Replies
980 Views
Wakuu, computer yangu imeanguka chini,na kupata nyufa kadhaa.Nilipoiwasha nimekuta kuna michirizi ya rangi imefunika karibu robo tatu ya screen na mistari mingine (horizontal).Naomba kujua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MBR Regenerator 4.5 The Professional Activation Fix Tool MBR Regenerator will offer users the possibility to easily and quickly recover their activation system. Multiple loaders, and patches...
0 Reactions
3 Replies
11K Views
jamani nahitaji msaada on how to track a mobile number sitaki niende customer care
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni samsung gt-s6102 Kwa sifa zinazokuja na simu search jina la simu na neno "specifications" kwenye google; Nilizoongeza ni... Tayari nime root, install busybox na CWM Ipo kwenye hali nzuri...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
wadau kama kichwa kinavyo jieleza naomba msaada wa apps ya kuweza kupata internet radio.natumia simu Nokia N95 8gb.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Msaada, natafuta battery ya computa-mpakato aina ni IBM Lenovo, Think-Pard T61.
0 Reactions
0 Replies
711 Views
explain the important of basic civil engineering based on computer science!!!
0 Reactions
3 Replies
818 Views
Analysis: False. NASA has predicted no such thing. There will be no three-day blackout in December 2012. Indeed, the phrases used above - "total blackout of planet," "alignment of the universe,"...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Nawezaje kuweka document kwenye PDF Format? Nawezaje kutengeneza slides za Power Point Presentation?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
When a drop of water appeared on Dar es Salaam land especialy in towns always this happens.
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Friends, My laptop screen got spoilt. it was hit with a cup and it got broken. Can it be replaced?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
baada ya kuomba ushauri kama ubuntu na window 7 ni ipi bora na watu wengi kunishauri kuwa ubuntu ni bora zaidi!leo nimeweka ubuntu kwa msaada wa mtaalam lakini tatizo ni kuwa documents zangu zote...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom