Ndugu wa jf, naomba msaada wenu, device inayotumia 4G + Cellular internet, inaweza kupata internet ya 3G? Nauliza hivi kwa sababu nataka kununua IPAD 4 yenye uwezo wa 4G + Cellular internet hivyo...
Duplicate Cleaner ni program nzuri ya kusafisha mafile ambayo yamejirudia rudia na kujaza HDD yako
huwezi amini HDD yangu ilikaribia kujaa nikasema ngoja nijaribu...heee kumbe ma movie music na...
Kwa wale wanaotaka kuwa na Screensaver ya Bendera yetu ya Taifa, tafadhali tembelea link ifuatayo RapidShare ? Secure Data Logistics ili kuweza kudownload hiyo Screensaver na kuinstall kwenye...
habari,nimekuwa nikiambiwa kua kuna sehemu dar yenye mafundi simu WATAALAM,wanaojiita sapna.sasa nina ipod touch 4G imepasuka screen ila inafanya kazi kama awali,ninahitaji kurepair hivyo mwenye...
Habari zenyu Wakuu? wazima? mimi nipo poooouwa.
Kuna picha moja hapa nahitaji kuzitoa pembe zake zote za pembeni yaani ibaki bilauri/glasi (ninamatatizo ya r na l) kama glasi tu, naweza tumia...
Outlook cant send mail Some Problems and Solutions
Sometimes after configuring your Gmail account with Outlook, youll not be able to send mail. If you follow the exact guidelines provided by...
Kama kuna mdau yeyote anayejua any software ya kuhack au namna ya ku-access PC or phone using bluetooth from another PC or phone withought authorization from the owner, anisaidie plz!
habari,
Kuna mtu ambae anaweza kunifahamisha jinsi ya kupata vitabu online kwa kutumia hii application (zotero)?? Au kama naweza kupata websites ambazo naweza kudownload free books
Msaada tafadhali
Wanajamvi,
Ninatafuta zile DSTV decoders zenye kuwezesha kuona picha mbili tofauti kwa wakati mmoja. Niliwahi kuuliza DSTV wakaniambia hawatengenezi tena zile decoder. Kwa anayefahamu wapi naweza...
wadau
kama mumechunguza sio kila mara kustream videos in a kuwa ni smooth process. hata kama internet connections yako ni ya high speed, uta experience glitch glitch au kukwama kwama huku ikileta...
Jamani nahitaji msaada wenu,, Kila nkiweka docs kwenye flash drive zangu zinabadirika format kutoka doc format- exe format Na hazifunguki tena Kwa Microsoft word alaf document nyingine ckua Na...
Jee unajua kuwa ukikua pua yako na masikio yako pia yanazidi kukua , kurefuka na kupanuka?
Hebu angalia wazee walio karibu na wewe utaona kuwa pua zao ni ndefu au zimepanuka.
Masikio yao pia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.