Kuna pc tatu zote zina windows xp, zimekumbwa na malware na wasi wasi kwani desktop icons zote hazionekani na wala siwezi kuright click kwenye desktop. Naomba msaada wa jinsi ya kurescue hii...
Wakuu nahitaji kununua modem ya bei nafuu ambayo iko unlocked kutumia mitandao yote au inayowezekana kuwa unlocked kwa kutumia unlock code.Je ninunue aina gani ya modem na nitaipata wapi?
msaada wadau naombeni mtu ambaye anayo iyo software ya kucopy data zote endapo tu flash itakapo chomwekwa kwenye PC (computure) please natanguliza shukilani [b*] loading......[/b*]
Strong proof that there's water on Mars as Curiosity rover discovers rounded off pebbles.
[headerlinks]Scientists exploring Mars have discovered that water once flowed in streams several feet...
Hali zenu wandugu. Nombeni msaad wa kupata memory card ya sony playstation vita (ps vita) maana arusha nimetafuta kila kona sijapata,kama kuna mtu anaefahamu anisadie iwe mkoani.
hivi kati ya voda lile bundle la wiki na airtel bundle la weiki lipi ni zuri na vipi kuhusu download speed zao pls msaada wadau cuz juzi kt nilinunua la zantel la siku 3 likazinguwa nikashidwa...
Jamani wakuu nilikuwa natumia moderm ya airtel nikawa napata mb400 kwa sh.2500. Lakini hivi karibuni nilinunua line nyingine kwa ajili ya moderm lakini nilipotaka kujiunga na bandle ya mb400 kw...
Wakuu, pc yangu inaniletea messege ya windows 7Build 7600, this coppy of windows is not genuine.uki start computer inasema the activation time is over. nimejaribu ku instal loader seven lakini...
Tangu jana PC yangu imebadilika gafla. Inaelekea window 7 yangu imesha expire,inaniletea ujumbe huu;'THIS COPY OF WINDOW IS NOT GENUINE' naombeni msaada nifanyaje kuiupdate? Nilijaribu kuitafuta...
Please wakuu,naombeni msaada mwanzoni nilikuwa natumia internet kwa modem ya vodafone lakini baada ya kushusha window tuu nikii-connect inaleta message "welcome to found new hardware wizard" na...
wakati mvua ikiendelea kunyesha mbele ya frem ya duka moja apa ukonga nikiwa nimesimama ghafla tukaona bulb ya umeme (energy saver) ikiwa inawaka waka yan on/off...kuchek kwenye switch
iko off...
Habari zenu wakuul ?eo ni mara ya pili nimepata offer ya shilingi erlfu kumi toka airtel kwenye intert,mara ya kwanza nilipata lakini nikashangaa kifurishi nilicholipa kilipoisha ikakata na leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.