YOU may not have felt it, but the whole world shuddered on 11 April, as Earth's crust began the difficult process of breaking a tectonic plate. When two huge earthquakes ripped through the floor...
kespersky imeenea sana,
wengine wanaisifu sana microsoft inernet security. sioni cha maana
Macfee ni nzito sana kwa vikomputer vyetu vya kimasikini,
Niamani sana avast package kamili, sio ya...
Users of Google's Chrome browser have been stuck with a finicky issue as of late: According to reports, some Web surfers are experiencing frequent browser crashes whenever they try to navigate...
Wana-JF tuna laptop mpya kabisa aina: "Toshiba" Satellite, Windows 7
Model C830
2GB RAM
500GB Hard Drive
Intel Duo Processor 1.6 Ghz
BEI TShs. 700,000/= (Zinaweza kuuzwa kwa TShs. 680,000/=)...
Tuliambiwa baada ya kuzindua mkonga wa Taifa huduma za internet zitapungua.Sasa mbona wanatufanya tuwe tunakesha usiku kwa offer zao (Voda,Airtel n.k),wakati huo huo vifurushi ni ghali mno?Tunkuwa...
WADAU NIMEONA WATU WENGI WANASUMBUKA NA IDM (INTERNET DOWNLOADER MANAGER) ,MASWALI YAMEKUWA MENGI HUTY NAOMBA KEY ,HUYU INANIAMBIA IME EXPIRE JIBU NI HILI DOWNLOAD IDM LAEST AMBAYO NI 6.12...
habari wandugu,nimekwama na kazi flani,just because template ninayotumia kila siku leo imeninunia,can someone who is a long-time proffessional wa MS-Excel aniPM....i seriously need help on...
wadau naombeni msaada nikiweka hela kwenye line ya tigo inakata hela na kuniambia umejiunga na internet megaboksi sikujiunga nao wala nini. nifanyeje niweze ku-unsubscibe na hiyo service yao...
Wakuu window media player kwenye pc yangu hai play hizi dvd za blue ray sijui tatizo ni nini.naomba ufumbuzi wa tatizo hilo au majina ya media player nyingine nzuri zinazo play file formats nyingi...
Hi guys,
Kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata genuine notebook: 2gb RAM, from 1.5 GHz, at least 250gb HDD (add more specs) kwa bei ya kawaida anipe habari tafadhali. Mdogo wangu anahitaji...
Kwa wale wanaotumia devices za Apple iwe iPhone au iPad tafadhali tembelea link ifutatayo ( App Store - JamiiForums ) ili kuweza kudownload free JF Application urahisishe mawasiliano yako wewe na...
Habari Wanajamvi.
Naombeni msaada namna ya kutatua tatizo hili.
Nikiwasha Blackberry Curve 8900 inaleta White screen with the message "AppError 200" na chini yake inanipa option ya "Reset"...
Hii operamin ya vodacom bila shaka leo wametoa offer. sababu tangia asubuhi naingia jf na kutoka na sijakatwa hata shilling kumi kwenye simu. Vilevile ipo fasta sana. Nataka kujua ni kwangu tu au...
Habari za kazi wanajf wenzangu eti ni kweli kampuni ya startimes na wao wameleta vingamuzi vinavyofanya kazi kwa njia ya satelite.kuna jamaa yangu kanambia alisikia tangazo lao redioni.Na kama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.