Je ni apps gani bora ya kuplay music offline yenye Equalizer nzuri kwa simu janja kati ya hizi Poweramp Music Player, N7 player, NRG player & Jet audio player!!?
Kwangu poweramp music player...
Kampuni ya Apple, imeweka rekodi ya kuwa na thamani kubwa kuliko kampuni za Alphabet (Google), Meta na Amazon - ukizichanganya kwa pamoja.
Yaani ukichukua Market Cap ya Amazon, Meta na Alphabet...
Habari wanajamvi,
Natafuta Flutter App developer wa kutengeneza
1. Main App
2. Partners app
3. Admin panel
Hzo app mbili (moja ni kwa ajili ya users, yapili ni kwa ajili ya Partners , kama Uber...
Hello bosses.....
Kwanza niseme tu mimi ni tech enthuasist, napenda tech zaidi ya kitu chcht duniani hapa. lkn sipendi kuona watu wanashabikia hizi technology trends hadi wakazidiwa na kuacha...
Habari,
Aisee niende kwenye swali.
Ivi kati ya Programmer na IT yupi mwenye fursa nyingi za kujiajiri na kuajiriwa, na endapo wataajiriwa yupi ambae atapokea kiasi kikubwa cha mshahara kupita...
Naona Kuna mabadiliko karibia Kila mtandao Kwa Sasa huwezi kupata hata GB 1 Kwa elf 2, mambo ni fire 🔥 sio kitoto.
Kwa upande wetu tulioingia Ile mikataba minono ya post paid tulikata bima ya...
Jamani Mimi sielewi kwanini tuna wekewa huduma ya 5G wakati hata hatujafikia asilimia 90 ya watanzania wanao miliki simu TANASHATI (smartphone).
Pia wengi hatujui madhara ya RADIO FREQUENCY...
Wajuvi nina mpango wa kwenda zanzibar kununua vitu used vya electronic kama ps3, ps4 na computer je hivi vitu vinapatikana kwa bei rahisi kweli na upatikanaji wake upoje na vipi kuhusu kodi
Nimeamua kuanzisha group ili liwe msaada kwetu mafundi na wateja kwa pamoja.ili litakua group la kusaidiana kutatua matatizo ya kiufundi na ushauri vifaa vinapopatikina kwa urahisi ila la...
Niko na simu hapa nataka kui remove screen lock mbaya zaidi button zake za volume up na down zmeharbika ningeweza kuiformat.
Katika pitapita zangu huko YouTube nikaona wahindi wanatumia MTK...
Habari wana teknolojia. Naomba mwongozo hapa na hints za kufanikisha kuweka matangazo kwenye application
App yangu ni hybrid( ni web view mobile application) mpaka sasa ina namba of downloads...
Wakuu sidhani kama niko nje sana ya maudhui ya hapa!!
Nimekuwa nikivutiwa sana na aina hii ya posts huko Facebook, unakuta picha ndo iko juu halafu caption ipo chini!! Nimejaribu kutafuta sehemu...
Habari wakuu,
Naomba msaada wa installation ya windows (10 preferably; ila nikipata nyingine siyo mbaya). Baada ya windows nahitaji drivers zote muhimu. Naweza kukufuata popote ulipo Arusha...
Wataalamu wetu wengi wa hizi website na blogs rangi za screen zao ni black and white.
Labda niulize kama ni sheria au lazima kutumia hii rangi ya black and white.Maana kila site unayoiona ni...
Nimepoteza remote yangu ya redio ya pikipiki ya sasa nimepata remote ya redio ya zamani kama hii ya kwangu, ila haiunganishi.
Mwenye kunisaidia nini nifanye ila ukubali anisaidie.
Habari Wana jukwaa, ni Imani yangu kwa mapenzi yake muumba sote Yuko salama.
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, naomba msaada kwa anayejua namna ya kuitoa video iliyo rekodiwa na kuhifadhiwa...
Habari wakuu,
Niko na App (mobile application)inayohusika na masuala ya shule( kupakua notes za masomo yote kuanzia level ya chini mpaka vyuo vikuu). App inaitwa desafinder ipo playstore
Yeye...
Wazee kama kuna yeyote mwenye ujuzi wa kutengeneza model za security kwenye data za organization, please namwomba tushare kitu.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Habari za muda huu watu wa Tech!
Moja kwa moja kwenye mada natumia simu aina ya Note8 ya line mbili kwa muda wa miaka miwili sasa ila leo jioni nilibadilisha line two kutoa voda na kuweka Airtel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.