Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wanajamvi, Msaada, mwenye ujuzi wa ku-unlock hizi modem za Wireless 4G (T*go), nikiweka line nyingine inadai unlock code. // Nitalipia huduma.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimejaribu kuunlock kwa kutumia codes za tools baadhi ikiwemo Universal Master Tool zimegoma. Unlock Attempts zimebaki saba. ama kuna mdau amewahi kufanikisha kuunlock hii route tushirikishane...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujuzwa kati ya window 7 na 10 ipi ni nzuri kwa ufundi simu upande wa software ninazo box na sio crack
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Kampuni ya Apple inc kupitia devices zake za iphone leo zimeweka rekodi duniani ambayo haijawahi kutokea. Zaidi ya devices 10 ml zimeuzwa leo huku ikiwa ni rekodi duniani. Iphone wanasema hiyo...
14 Reactions
158 Replies
11K Views
Wakuu salama? Naomba kujuzwa ni Microsoft office ipi ni bora zaidi? Ikiwezekana nisaidie na link ya kuipata. Shukrani
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimevutiwa sana na ujio wa NOKIA hasa specification zake pamoja na bei yake ambapo ina range 250k-270k! Betri 4100 mAh Kwa kua sijatumia ya Nokia smartphone naomba wenye uzoefu nazo...
0 Reactions
62 Replies
11K Views
Members Nina sm yangu ya Infinix nimeshindwa kutoa sauti wakati ninapo screenshot. Hio souti inayotoka ninapo screenshot inakera sana maana ni ya juu sana. Je inawezekana nikawa nachukuwa...
0 Reactions
8 Replies
532 Views
Wakuu nisaidie jinsi ya kupata projector yenye ubora wa hali ya Juu, Kusema ukweli sijui chochote kuhusu hizi projector. Itapendeza zaidi nkipewa na bei zake. Asante
0 Reactions
21 Replies
18K Views
Hanari wakuu, mimi si mtaalam sana wa computer ndo najifunza baazi ya mambo. Natumia dell optiplex 5040 yenye RAM 4gb ddr3 hivyo nikaamua kuongeza RAM 8gb ila ni campuni tofauti na RAM iliyo...
0 Reactions
2 Replies
653 Views
Habari, kwa wale ambao wana interest na mambo ya udukuzi, hizi ni baadhi ya basics unazopaswa kufahamu; [emoji626]Adware − Ni software iliyoundwa ili kulazimisha matangazo ya aina fulani...
14 Reactions
20 Replies
3K Views
nilienda ttcl kuwaomba wanifungie internet ya kwenye zile nyaya za simu ili nipunguze gharama za hivi vifurushi ghali, kuna dogo namjua tangu 2020 yeye anatumia hii huduma hajawahi kuwa na habari...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau naomba kujua aluminium profile zinazotumika kutengeneza milango na madirisha
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Xender , shareit , Airdrop ni app hatari sana kwenye simu ? Nazani kichwa Cha habari kinajieleza au bado [emoji3] ujanielewa kama unatumia app ya Xender ifute sasa hivi maana ni app hatarishi...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Unaijua phishing link kwenye simu zetu Je una hamu ya Kujua Nini kitatokea ikiwa umegusa link ambayo ni phishing attack kwenye simu yako ? Unajua kwa kugusa tu link unaweza kuingiza kirusi...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta fundi projecter nina projecter inasumbua lenzi
0 Reactions
17 Replies
5K Views
"Chief Twit" mpya wa Twitter Elon Musk anaripotiwa kufikiria kufanya blue tick kuwa kuwa kipengele cha Twitter Blue, wakati huo huo akiongeza mara nne gharama ya huduma ya usajili. Hii inamaanisha...
4 Reactions
85 Replies
6K Views
Habari wataalamu, Naomba kuuliza nawezaje kuongeza Redio kwenye Kingamuzi changu cha star times. Kwa ambazo ni Tbc Fm na Tbc taifa, nataka niongeze Clouds Fm, wasafi fm, n.k Inawezekana?
0 Reactions
1 Replies
413 Views
Hero wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku. Mimi ni mdau na schoral wa field ya IT na lengo langu kubwa ni kuja kufanya kitu ambacho ni remarkable na nipo chimbo kwa sasa, back to topic nakua...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wadau wa jukwaa. Mimi ni mpenzi wa muziki wenye mchujo wa hali ya juu (hi fi). Nahitaji kununua system ya nguvu ya stereo (hi fi). Naulizia duka ambalo ni wataalamu wa hifi inayoweza...
0 Reactions
35 Replies
17K Views
Rejea kichwa Cha habari hapo juu. Msaada wa jinsi ya kulipia (payment methods) ambayo nitamtumia Mpesa au mobile money YouTube ili nipromote contents zangu Kwa eneo ninalolilenga.
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Back
Top Bottom