Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hivi hizi zinatofauti gani hasa. www www2 www4 www8 http https jamani nahitaji tofauti ya kitaalam.
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Apple sets September 12 event, latest iPhone expectedReuters – 22 hrs ago Share Email Print Related Content Enlarge PhotoThe Apple Inc corporate logo is … SAN FRANCISCO (Reuters)...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Researchers in South Korea and South Africa are working hard to launch smart phones that can be used to test for HIV/AIDS in many parts of Africa through a revolutionary gadget called Smart...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Wadau jamani mwenye ujuzi wa hii kitu aina operation system{mac os} yake anaejua nitaipata wapi msaada plz na je naweza kuinstall software ambazo nilikuwa natumia ktk pc ya kawaida na game zake
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi!. Jamani mwenzenu nataka nianze kumhubiri Mungu hata kwenye mtandao, kwa kufanya hivyo kwanza naanzisha website/tovuti yangu. Kama kawaida Mchungaji nimekuja hapa kupata...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeona kwenye gazeti la the gardian la leo kuwa google kwa kushirkiana na costech wameandaa ICT Innovation network itakayofanyika tarehe 14 September 2012 Kama wewe ni gwiji la teknohama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nina HTC, OS yake ni ya android nililetewa na my friend kutoka spain, ni special product za vodafone. nikiwasha au kuizima inaonyesha ile logo ya voda fone. nimejaribu kuweka line ya mtandao...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
A laptop is one of the most fragile consumer electronics devices you will buy. It's a complex system packed with fast hardware, yet it also finds itself in constant use, which often mean constant...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
POS software (Point of Sale)
1 Reactions
9 Replies
2K Views
simu yangu ya blackberry ni mpya haina hata mwaka, inafanya kazi vizuri haina tatizo lolote...leo asubuhi saa mbili kamili imetoa mlio wa warning huku inionesha alama kama ya betri ya gari yenye +...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari! Nimedownload hii kitu lakini jinsi ya kupata password nimeshindwa na nadhani sababu ni internet yangu iko down.. naomba msaada kwa atakayeweza kuipata, maelezo haya hapa chini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima wakuu, Ninaomba msaada kwa anayejua kurudisha sauti kwenye Samsung Led TV, nikiongeza sauti inatokea alama ya headphone wakati sijaweka headphones. Shukrani sana
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndugu wana JF naomba tu shee direct sites za kudownload vitu mbalimbali kuanzia Movies, TV Series, Music,Music Videos, Softwares,Games na Hata Vitabu. wadau Jukwaa ni lenu
2 Reactions
52 Replies
8K Views
habari.natatizo kila niburn cd mwishi inasema imekuwa saccesseful lkn nikitaka kuwasha kwanye laptop inakuja ile autoplay kama vile bado ipo empty,je tatizo ni cd au laptop??msaada pls.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Jmn msaada wakuu, naomba kuulza, eti ni window gani nzuri kwa matumiz yote (nyumban na ofisin) thanks
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna flash ya 1GB iko write protected, ina data, video na audio ambazo naweza kuzi-play au ku-copy ila nahitaji kuzifuta. Flash inafunguka ila inakuja error worning kwamba data ziko protected...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
miezi kadhaa iliyopita niliona samsung wanatangaza simu yao yenye uwezo wa kufukuza mbu. nikafuatilia nikagundua kuna app ya android inaitwa mosquito repellant ambayo inapowashwa hutoa sauti yenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
baada ya kuchange win xp s.p3, baadhi ya keypad hazfanyi kazi kama zlivyopangliwa. Mfano key 2 ipo pamoja na @ ila badala ya @ inakuja ; . Msaada tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
SHANGHAI - In China's booming smartphone market, which is set this year to overtake the United States as the world's largest, a host of little-known local firms are primed with cheap phones to...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama ndivyo, ninaomba frequency, symbol rate na satelitte zinapopatikana. Ninatanguliza shukrani.
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Back
Top Bottom