Hi there
I was in the middle of developing Drupal site and just ended up with following issues
1. I managed to upload .swf file and put it where it should, but it doesn't shown up on the page...
kuna simu yangu aina ya nokia x6,nashangaa siku hizi imekuwa na tatizo la kila unapotoa betri ukiirudishia tena,inakuwa imepoteza tarehe na muda,inabidi ufanye setting tena!naomba msaada please.
msaada :
nikitaka kuzima computer STAND BY na HIBERNATE zipo faint huku RESTARTna TURN OFF zikionyesha zaweza fanya kazi lakini niki-click RESTART haikubali na niki-click TURN OFF mara nyingine...
msaada jamani, nimesearch manually kwenye king'amuzi changu nimepata channel kama atn, ila hazionyeshi, nifanye nini
hivi hamna njia ya kutumia king'amuzi bure kwa maana gharama zishaanza kunitoa...
wana jf heshima zenu,ningeomba kuuliza hapa tz ni wapi zinauzwa used computers za apple aina ya imac na kama zipo mnijuze ni kama bei gani!!! Natanguliza shukrani zangu
google wanaelekeza jinsi ya kutumia google search kuna vitu vingi wanavifundisha ambavyo vinarahisisha jinsi ya kutumia google kwa urahisi darasa jipya linaanza tarehe 24 septemba the gud thing...
Poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa, najitokeza kwenye jukwaa hili kuomba mwenye ujuzi wa jinsi ya kuchaji battery za Camera. Nina Camera ambayo inatumia rechargeable battery, ila nimeshindwa...
iPhone 5 vs. Samsung Galaxy S III vs. Droid RAZR HD vs. Nokia Lumia 920
Apple
iPhone 5
Samsung Galaxy S III
Droid RAZR HD
Nokia
Lumia 920
Screen Size 4 inches 4.8 inches 4.7 inches...
kila nikikopi kitu upande wa internet nikirudi kwenye write massage na nikapaste kile nlichokikopi kinakuwa multmedia massage wakati mimi nataka text massage nahitaji msaada wenu.
Msaada katika hili napodownload applications tofauti kutoka play store zinakubali vizuri tu lakini baada ya muda tu zinagoma kufunguka nn tatizo na ninapo douwnload nyimbo pia zinaplay vizuri tu...
hiyo namba ilinibeep kwa mara ya kwanza tar 8/08/2012, usiku nikahis ni namba ya nje. Kesho yake nikaweka vocha, kupiga nikasikia maelekezo ya kiswahili nkakata hapo sababu muda huo huo sim...
natanguliza shukran zangu,lyn yangu ya tgo ime brock sa puk nilipoteza, je kuna njia nyngne kuzpata zaidi ya kuwapigia coz cna lyn ya tigo nyngne,plz help me
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.