Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba yeyote mwenye uelewa anissaidie kunako hili. Je Tablet pc program zake zinafanana na pcnyingine kama laptop na desktop? Pia hizi tablet zinafaa kwa matumizi yapi zaidi? Msaada tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Aisee wadau nilikuwa naomba help ya jinsi ya kuunlock simu yangu ni ideos8150.Natumia dc unlocker inazingua mambo ya password hata phone hai detect
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Habari zenu wana JF. wakuu mimi si mtaalamu sana wa adobe photoshop 7 lakn kwa kiasi flani najua jua. Problem yangu kubwa ni jinsi ya kufanya picha ing'ae na kuw na rangi km chocolate flan hta km...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wanaJF!! Nahitaji msaada naitumia www.yourmuze.fm kusikilizia online radio lkn n za nje 2. Kuna kipengele cha kuongeza local radio na Wanahitaji Url ili u-add na usikilize{nisaidieni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waungwana nisaidieni. Kompyuta yangu inapozimwa, nikija kuwasha inakuwa kama power haingii, ila baada ya kujaribu mara nyingi inawaka na shughuli zinaendelea. LAkini inapounganishwa kwenye power...
0 Reactions
0 Replies
785 Views
How to Hide IP address and surf anonymously for free? Hi Break the security readers, in my last post, i introduced "Hide The IP" software. "Hide The IP" is best IP hiding software. The...
0 Reactions
14 Replies
12K Views
Nawasilisha,, Nimejisahau na kuendesha kama kilometa 2 handbrake on. Hi inaeffect gani kwenye Gari. Nakaribisha michango,.
0 Reactions
1 Replies
868 Views
Msaada wenu wakuu, nimejaribu ku-google na ku apply njia kadha wa kadha lakini bado sioni mafanikio. Njia nilizojaribu ni zifuatazo: 1) Scanning ya virus 2) Kuingia kwenye safe mode na kutumia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
bandugu naomba msaadakwa mwenye key ya window 7 tafadhali shukran
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Often times Autorun virus come into our PC. That time creating some problems for them and they does'nt work properly because the Drives does'nt opened quickly. Today, i will showing a tweak, that...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Pleaseeeee!!!!!! Wakuu........... Kwanza Heshima mbele. Please, I'm after help to you JF member on how to make internet connecxn with more than one computer but ma-self I have only one Internet...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Having your cell phone or tablet stolen is not just a bad day at the zoo, it potentially compromises your safety and security. Thanks to the FCC (back in the age of the dinosaurs, the early '80s)...
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Huku pori voda inasumbua naomba utaalam wa kuchakachua-modem E 173 IMEI 860016014006964
0 Reactions
0 Replies
734 Views
SAMSUNG GALAXY S2.Gt-19100 inagoma ku sensi sawa sawa,tatizo linaweza kuwa nn,na ntalitatuaje,maana hawa mafundi wetu vimeo,ncje nkaenda kuwapa mtaji
0 Reactions
0 Replies
644 Views
nahitaji kununua sports rims kwa ajili ya kigari changu ..... sasa nimeingia wasiwasi baada ya kusikia kuwa kuna rims fake za kichina na kuna originals (alloy wheels) naomba maujanja ntakapokwenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani nahitaji tablet but inayotumia os ya windows na yenye uwezo wa 3G kwa bei poa iwe mpya au used ni sawa tu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wamiliki wa TING rekebisheni mitambo yenu iwe automatic kwa ajili ya ku recharge malipo na chanel zenu bado ni chache ikiwemo LOVE WORLD ambayo inaonekana jina tu.Aidha siwaelewi kwenye fomu zenu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi karibuni nimesahau password yangu ya application inayoitwa folder lock. mpaka sasa nimeshindwa jinsi ya kureset password ili niweze kurecover my files..niliwahi sikia njia inaitwa brute force...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu poleni na uchovu wa siku, natumaini kila mmoja humu yupo mzima wa afya na kama yupo anayeumwa basi tumwombeeni aweze kurudi hali yake ya mwanzo. Wakuu mimi ninatatizo la kutoelewa ni nyia...
1 Reactions
19 Replies
8K Views
habari za asubuhi wanajf naombeni msaadaa wenu ktk hili nimewasha dstv nyumbani sasa kitu cha ajabu haiscan ipo tu kama vile imestack kwa maana kwamba vile invyoandika number of public...
0 Reactions
4 Replies
952 Views
Back
Top Bottom