Own your own business - Become distributor now - visit
For one month Twiga Hosting Ltd the owner of wfrobot erp will be registering distributors of wfrobot erp. You will always earn commissions...
Jmn naomben kufahamishwa kuhusu hz camera za cm,
je utajuaje kuwa hz cmr ni nzuri?
Maana huwa naona zmeandikwa 2mega pixel, 3.4mp, 6mp,
je hz mp's zina maana gani?
Any help plz!
Natumia tecno T501 kila nikiingia FACEBOOK nikimaliza ku log in inajibu "secure conection failed!" hata nikiingia twitter au gmail tatizo liko palepale, web zingine hakuna tatizo. naombeni...
wandugu naomba msaada wa namna ya kufanya kuifungua SARI ya SAUT. kila nikijaribu napata:
Forbidden You don't have permission to access / on this server.
Additionally, a 403 Forbidden error was...
Habari wanajamvi,
waungwana naomba mnisaidie kuinstall apps mbalimbali kwenye hii simu nokia E90, maana nimekwama. Kila app ya .sisx file ninayotaka kuinstall inanipa error "file corrupt" ..ila...
salamu kwenu wakuu!!! Naomba msaada kwa mtu anayejua Decorders za Abudhabi channels e.g Abudhabi sports and Mbc zinapatikana wapi kwa hapa Dar-es-salaam na zinauzwa shs ngapi???
Our systems have detected unusual traffic from your computer network. Please try your request again later. Why did this happen?
IP address: 41.217.203.109
Time: 2012-08-29T15:27:41Z
URL...
Only 1110, 1110i, 1112, 1100, 2100 mobiles can be restart with this trick. Cannot be restartother mobiles with this trick.
Go to your mobile right messagearea " New Message " here youtype 79...
Go to Start=> Run
Type " cmd " and hit Enter
Now command prompt window will be open and here you type "ipconfig "
And press Enter
Note: Default Gateway e.g
Default...
msaada virus wameingia kwenye computer kila nyimbo imejirudi kwenye xternal nikiscan folder mojamoja wanatoka ila local disk c inajaa pasipo mzigo kuonekana hata kwnye recyclebin hakuna k2.
Nna bettry ya gari 12Volts, nahitaji kuitumia kuwashia taa kadhaa (energy savers) kama 5 tu ivi, coz maeneo niliopo umeme wa tanesco unasumbua balaa. Je kuna means yoyote ya kufanya amplification...
haarini jf members. Wakubwa nimeona wa2 weng wakiandika thread zinazohusu kudownload ku2mia rapidshare. Mi ni mgen wa haya mambo nataka kujua hyo rapidshare ni nini?,inatumiwa vp? Inafanyakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.