Salamu Wakuu.
Nina wazo kwamba wizara au Taasisi husika au hata wadau watakaoweza kukaa kuunda Academy ambayo itaweza kuendeleza vipaji tofauti vya technology kama vile programming, web design...
Wana JF msaada jamani, Voda na Airtel wananiibia nimechoka. kazi yao kuniambia wamekata 400 mara 210 eti gharama ya caller tunes. Naomba msaada namna ya kujitoa kwa anayejua
ni toshiba satellite A500, win7 64 bit....tatizo hili limeanza jana...nimejaribu options zote nilizozipata kupitia google but where...nikichomeka charger inawaka na battery ndo inaonyesha hivyo...
msaada wa key za ku UPGRADE win7 to ULTIMATE AU PROFESSION itakuwa poa kama nitapata zote mbili nimejaribu kuzitafuta humu ndani sikufanikiwa kuzipata..thax
Habari, niliwahi sikia ya kuwa kutumia internet kwa computer na kuiweka Computer mapajani ni hatari sana kwa wanaume inapelekea upungufu wa nguvu za kiume.
Pia kuna hatari kwa Wanawake kupata...
ebuddy xms ndo mpango mzima kwa wale wacokuwa na BBM.... uta-add marafk ambao wanao2mia hii app kwa PIN kama wale wa BBM.... nmeshndwa weka link waweza tafuta kwny App store
wana jf naomba msaada katika kugusa gusa kwenye setting za appearance nimejikuta nimeweka rangi nyeusi hivyo screen yote ni ya rangi nyeusi hivyo siwezi kubadilisha ili niweke aina nyingine ya...
jamani nataka kujifunza hii kitu mana huwa naiona ona tu, naombeni mnisaidie namna ntavyoweza kujifunza ili niweze kuitumia, pia kama kuna link yenye vitabu vyake niweze kudownload. Nashukuru sana...
If youve been closely watching the
Oracle vs Google court fight, you
already know everything youre about
to read. If youre one of the many,
however, whove been keeping an
open ear but not...
Habari za sasa members?
Nilikuwa natumia DEEP FREEZE lakini kutoka na hali ya mambo, nikaamua ku password hiyo deep freeze.
Tatizo linakujat hapa: NILISAHAU PASSWORD, so nilijaribu kueka password...
Ivi Tigo mnanini ?
juzi mlituma sms kwenye simu za Blackberry ! Ilikua hiviii
"Ndugu Mteja, Tigo imekupatia siku 30 za BURE kuangalia video kwenye Internet ukitumia SIMU yako yenye huduma ya...
Jury: Samsung should pay Apple more than $1 billion
By the CNN Wire Staff
August 25, 2012 -- Updated 0247 GMT (1047 HKT) | Filed under: Mobile
A South Korea shop manager shows Samsung...
habari zenu wakuu,
naomba msaada kujua kuhusu hii system ambayo nchi yetu inaingia mwishoni mwa mwaka huu, kuzima mitambo yote ya
analog na kuingia kwenye mfumo mpya wa digital, naomba mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.