Nna laptop aina ya dell latitude d630 inasumbua upande wa charge yenyewe hata uicharge had ioneshe 100% lakin ukichomoa power cable kwamba ijitegemee ndani ya dk 5 inaisha na kuzima betri hii...
wadau natafuta computer yenye sifa hizi:-
1. ram-1gb
2. hdd-kuanzia 120gb
3. speed-kuanzia 2.9ghz
4. iwe dvd writer
5. flat screen.
6. nk
bei iwe tshs 300,000.00
asante kwa kunipm
Nyie airtel vp, nimerecharge 5000 usiku kabla sijapiga, hela asbh kwishnei nimetuma sms 30 tu kati ya 200 .....naweka tena 5000 now naongea sekunde chini ya 30 hela inaisha tena, customer care...
jamani naomba mnisaidie.. Ninatumia nokia500-ORIGINAL. Nimejaribu kudownload ovi-suite kwenye laptop ili niweze kumenage sms.. Na image na mambo mengine kwenye simu yangu.. Ila kila niki-connect...
Habari zenu wadau,samahani tangu jana nashangaa PC yangu imeanza kunionyesha message inayosomeka Hard Disc Error ninapoiwasha,pia inasuggest ni press f2 kwaajili ya Hard disc error testing...
wakuu by nature am a very cheerful giver. sasa, hapa nilipo nina PES 2012 ambayo nataka nifute as soon as 2013 ikitoka. kabla ya hapo nataka nimpe anybody who wants a copy of it. my only demand ni...
Airtel tunashangaa mmebadilika ghafla kwenye vifurushi vyenu hata bila taarifa yeyote ni kwamba zamani mlikua mnatupa mb 400 kwa sh 2500 kwa kuandika neno internet kwenda namba 15444 ila kuanzia...
Desktop Icon Toy is ni Windows utility ambayo itakuwezesha kubadili jinsi unavyotaka icon zako zijipange kwenye desktop yako pia kurekebisha zinavyoonekana
Baada ya kuinstall, application hii...
Jama laptop yangu dell d630 ilileta usumbufu kwenye kioo ilikuwa inachora mistari na kuwa na rangi nyeusi baada ya kumpelekea fundi akajaribu ram, mkanda bila mafanikio ila kagundua tatizo ni...
Habari wakuu , naomba ushauri ni laptop ya aina gani na specs zipi itanifaa kwani napenda sana surfing, watchin movies na kucheza video games!!! Natanguliza shukrani
Habari zenu wakuu natumia phone aina ya LG-GT350i kila nikijaribu kudownload applications kwenye site kama vile getjar naambiwa operating system haisupport je ni site gani zenye applications...
Wadau nikiri kuwa niko nyuma kidogo kuhusu kuifahamu ipad.naomba anayetumia kifaa hiki anipe shule kidogo kuhusu mambo mbalimbali yanayopatikana kwenye kifaa hiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.