Wakuu msaada, pc ilizengua so nikashut down, kuwasha ikanambia there's problem kwahiyo inafix.. Ikakaa muda mrefu nika click cancel. Ikasema "u nt allowed to cancel" so nikaclick btn ya power...
Sasa hivi ukitaka kudownload high quality movies and tv episodes hamna haja ya torrents tena
IT'S VERY SIMPLE
1.make sure umeinstall IDM in your PC
2.tembelea hii site inaitwa...
Ni maneno ya chris weber vice president wa nokia kwenye mauzo akiwaambia samsung waje kuchukua notsi katika nokia world september 5 mwaka huu. Maneno hayo yanakuja baada ya samsung kumshinda nokia...
wakuu naombeni msaada nawezaje kuseti receiver kwenye dish ambalo lishakuwa installed tayari, i mean nataka kuongeza receiver ya pili kwenye dish lenye receiver nyingine tayari?
Habari wana jf!
Nimejaribu kujiunga na megabox ya tigo @ week 2800
2gb za kuperuz
150mb za kudownload
kila siku. Je hii ni kweli?
Je kuna mtu anayejua limit yake ukiachana na hapo juu?
Vp...
In this article we will talk about SMS spoofing. SMS means "Short messaging service" and is the protocol cell phones use to send text messages to each other. In other words SMS is your technical...
jamani hiyo ndo messege inayokuja nikiiwasha laptop yng,kila nikijaribu kufuata maelekezo hayo still inanigomea kuwaka,naombeni msaada wenu jinsi ya kurekebisha hili tatizo
Kwa wale wanaopata tabu kudownload kutoka katika torrent websites kwa kukosa seeds za kutosha, bonyeza Freeware Downloads ujisajiri bure na kuanza kudownload softwares zako ukitumia download...
The continuing slide in Facebook's stock price is fueling speculation that the social network might be better off without co-founder Mark Zuckerberg at the helm.
Facebook shares hit a record low...
Shortly after Twitter announced a stricter set of rules for its application programming interface (API), developers and engineers turned to platform to use the #OccupyTwitter hashtag in protest...
Nimekumbana na kirusi kilichozuiliwa kuingia kwenye laptop yangu baada ya kuingia website ya TIC na nikajulishwa kama hivi:
Haya vijana nipeni ujanja natumia avast anti virus.
Naomba kusaidiwa kupata software gani ambayo naweza kuedit video yangu,kwa sababu ilikiwisha recordiwa lakini kusehemu nyingine nataka kupunguza na kuongeza sehemu nyingine
Asante
Heshima kwenu wakuu.
Straight to the point,
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata video tutorials za adobe CS3.
I real need it.
Nimejaribu sana kucheck kwenye net ila kama hujui how and...
wakubwa katika pita pita zangu nimeotea yale madude yetu na iko poa ina stream u tube mbayaaaaaaa ila ntampa mtu ninae mwaminiiii au vipi wakuuuu....
then mwenye site ya kudownload muvi...
kwa wale ambao bado huu ugonjwa kwenu kuutibu ni tatizo dawa yake ndo imewasili ningia hapa Khurram's Softwares utaipata iko poa piga mzigo mpaka uchoke ila tu! usiupdate ukikwama uje nipo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.