Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba anayefahamu namba. Ya customer. Care ya tigo anifahamishe. Ni siku tatu sasa. Napiga namba 100 najibiwa na machine na kurecord ujumbe nisaidieni hiyo ya kulipia. Ili niwapate.
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Wadau vipi nitaweza ku upload file la power point hapa JF, naomba utaalamu wenu.. Natanguliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
I knw it hav a built in bluetooth lakin nashindwa kuiwasha..nimesoma google wanasema niende dell website nidownload bluetooth installer lakin sijaiona so kama kuna mwenye maujuzi na hii mambo...
0 Reactions
4 Replies
803 Views
Nimeona niombe ushauri kabla ya kununua,naomba unifahamishe kuhusu modem nzuri kwa sasa. Nimeona tangazo la airtel modem humu jf ila sijafahamu kama ni nzuri. Pia nilikuta mahali modem za...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Jamani naombeni mwenye keys za ms office 2010 tusaidiane jamani
0 Reactions
2 Replies
810 Views
iPhone yangu nimeipgrade kwa kutumia iTunes kutoka os 4.3.2 kwenda os 5 sasa imerudia factory settings na inataka line za AT & T tu, ukiweka za kwetu inasema 'No Service'
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wandugu, .NET membership database inafanya kazi vizuri kwenye local server, lakini nikiupload kwenye host server inakataa kuprocess login and register functions, then "Invalid value for key...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi great thinkers ! Kwa anayeweza kunisaidia please laptop yangu ina run win xp sp 3 sasa ghafla inaniambia 30 days to activate windows. Nimejaribu keys zaidi ya 6 but tatizo bado linaendelea...
0 Reactions
2 Replies
866 Views
wadau heshima mbele, nimejinunulia kijisimu nokia e5, contact zangu zipo kwenye line, tatizo siwezi kuona majina, folder ya contact haifunguki kabisa. Msaada jamani
0 Reactions
1 Replies
761 Views
Waungwana natumaini wote mko shwari, Nina simu yangu Blackberry tourch 9800, nilikuwa somewhere kwenye vaccation na kwa bahati mbaya picha zote nilizochukuwa kama memory nilipiga kwa kutumia simu...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Many application developer they forget query injection problem. Hapa chini ni njia ya kutest kama sehemu ya kulogin au kuingiza data kwenye system yeyote iko secured. kwa mfano kwenye login. '...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
natafuta mtu ambaye anauzoefu wa kununua vitu ebay....coz nahitaji aninunulie some things kama ypo anitaarifu basi ataninunulia hiyo product the ntamrudishia fedha zake alizotumia kuninunulia
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimesikia kua kuna jiko la kuni tatu tu chakula kinaiva.Wakuu kama kuna mtu mwenye taarifa zaidi atujuze mechanisms zake jinsi linavyofanya kazi
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Microsoft Arc Touch MouseThe mouse measures 15mm thick and is flexible because of its flexible silicon composition . Shark Mouse ConceptA mouse that gives the wrist that much of a comfort ...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba mwenye kujua bei ya battery mpya ya toshiba anijuze, maana laptop yangu inaonyesha alama nyekundu kwenye highlight alafu inasema considery replacing your battery.
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Wataalamu ninaomba kujua ,kufahamishwa,zinakopatikana hizi kitu za kuflash simu,, zzinauzwa wapi na bei yake,zinapatikana vipi?bei yake?SABABU NATAKA NIJIINGIZE KWENYE HII FANI,,NAWAKILISHA naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello! wana habari wan jamii forum wenzangu siku kuu imeendaje? hope it was good. Kama nilivyosema hapo juu software za bure zinanipa taabu keli sasa any one ajaribu kunisaidia plz ni hivi nili...
0 Reactions
3 Replies
949 Views
Hatimaye Website ya Jeshi la polisi Tanzania laingia mikononi mwa Hackers. Tembelea sasa hivi ujionee mwenyewe. Hacked Your Site | Mohammad Peace Be Upon Him | 2012
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jmn nisaidien cm yangu (Nokia 3120classic), zamani nilikuwa naweza kustream video za youtube but sasa hv nikitaka kuangalia haionyeshi hata nikiclick button ya ku watch' hairespond chochote msaada plz
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Guyz ninasimu aina ya nokia 2700 classic tatizo ni kwamba cicuit yake ni mbovu fundi simu mmoja wa posta ndo kantell hivyyo anataka buku 30 kwa kazi hiyo sa natafuta *mtaalam mwingine ambaye...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Back
Top Bottom