Shalom! Nilikuwa nikii-install VLC Media Player kwa bahati mbaya katika kuhangaika na kuminya minya bila shaka niliminya kisichopaswa kuminywa na matokeo yake sauti kwenye Laptop yangu ikapotea...
si ajabu kuwa wengi hili linawaudhi ila hawana jinsi ya kuepukana na nalo. Na kama una simu ya laini mbili ni adhabu tosha.Matangazo ya promotion kila dakika hadi simu inajaa na unashindwa kupata...
Heshima yenu wataalamu.
Naomba mnifahamaishe kama kuna namna yoyote ya kuweza kubadili picha ya video iliyo katika mfumo wa VHS kwenda katika VCD au DVD. Kama kuna mashine za kufanya kazi hiyo na...
Wakuu salamu, napenda mwenye kujua simu tajwa hapo ina vitu gani vizuri kama Android au OS. Pia kama ni dual sim card,ubora ikiwezakana na gharama ya kuinunua dukani...
Wadau nimelipa huduma ya internet ya Blackberry kwa muda wa miezi 6(natumia tigo), Sasa hivi nataka kuuza simu ya Blackberry, ninunue nyingine ya Blackberry, vipi kuhusu huduma niliyolipia kama...
Msaada jamani blackberry yangu imezima gafla wakati nachati kwenye net ila nikiwasha ina load haimalizi kabisa.Nimejaribu kudownload firmware ya blakberry ila sim nikiunga na usb haisomi kwenye...
Pamoja sana wakuu, antivirus yangu ni kaspersky 2012, nataka kui-update lakin kwenye zile application zote zimetikiwa, isipokuwa database and application imepigwa "x" nikiupdate inafikia 16%...
nilikua natumia modem inayochukua line zote nikiwa Dodoma mjini, ila nimekuja Kondoa kikazi lakini internate ya airtel imenigomea kwani modem inaonyesha taa nyekundu, nilipobadili na kuweka line...
ni notebook, nilibadili window juzi na kuweka ultimate, nimeitumia bila tatizo kwa siku 2. sasa tangu asubuhi nikiiwasha unakuja ujumbe usemao bootmgr is compressed press ctrl+alt+del to restart...
...Wadau naomba msaada wenu. Kuna wakati nilikuwa nikitumia Modem ya Voda ambayo nilikuwa nawea kununua Bundle ya internet kupitia kwenye interface yake. Niliaacha kidogo kutokana na eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.