wanandugu nataka kununua modem kwa ajili ya kazi zangu za ofisi na zile binafsi. sasa naomba kufahamu kampuni gani ina best rate at reasonable cost kati ya Voda, Airtel, Zantel au tigo. naomba...
Naombeni msaada laptop yangu aina ya COMPAQ presario CQ 50.. port yake ya HDMI haifanyi kazi ghafla tu baada ya kubadili window toka window 7 ultimate kwenda window 7. Nimejaribu kurudisha window...
Wakuu habarini za asubuhi?
nina blackberry yangu 8310 curve nilitumiwa toka Canada ,toka nimetumiwa mwaka jana sijaweza kuitumia kwani inasumbua kwenye network ina potea na kurudi na hata...
Natumia Sumsung Galaxy Tab 2 10.1 ,ila nasindwa ku comment vyema nikiingia humu JF ,nikitaka ku comment nikiandika mfano neno " Habari hii " zinatokea hefufi mfano " k h"
Naomba msaada pleaz.
wanandugu nataka kununua modem kwa ajili ya kazi zangu za ofisi na zile binafsi. sasa naomba kufahamu kampuni gani ina best rate at reasonable cost kati ya Voda, Airtel, Zantel au tigo. naomba...
Naombeni msaada wenu, nimefungua Blog yangu inayohusu maswala ya elimu na biashara. Swali langu ni jinsi ya kitufe cha komenti wakati mtumiaji anatumia simu, nimejaribu nikakuta inanionyesha pale...
eti kwa 250 utaweza kudownload miziki,updates,habari za michezo mbalimbali kifurushi chenyewe unapewa Mb5.wakati unakuta nyimbo moja ina mb10. Wadau hii imekaaje?
Naombeni msaada laptop yangu aina ya COMPAQ presario CQ 50.. port yake ya HDMI haifanyi kazi ghafla tu baada ya kubadili window toka window 7 ultimate kwenda window 7. Nimejaribu kurudisha window...
Jamani mimi nina kimbembe
Kuna doc ya PDF ambayo nimeweza kuiconvert into Word sasa kwa sababu ilikuwa ni scanned doc nataka niweze kuiedit in Ms Word
Nimekwamba nishadownload OCR softwares na...
10 great inventors who helped change our life
Thomas Edison - the lightbulb and many more. One of the most prolific inventors of all time
The Wright Brothers - for making the first flight...
Sijui inaweza kuwa ni setting au ndivyo ilivyo yaani unapo click kufungua post inafungukia katika post ya chini kama ukurusa ulikuwa na post 10 basi inaanza kuonekana ile post ya 10 na ili uende...
msaada toka kwa wataalam wa mambo jaman mashine yangu tajwa juu hapo inapiga copy upande mmoja wa karatasi vizur ukiigeuza karatas hyo upande wa pili inafifia naomba msaada kutatua tatizo hlo
How to install Android 4.0 Ice Cream Sandwich on HTC HD2? Yes, I am sure that you will ask this question if you have HTC HD2 with older Android version like 2.3 Gingerbread. Basically, the Android...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.