jamani vitu vizuri kula na ndugu zko kama unatatizo na IDM yko kuhusu ku register basi leo ndo mwisho nenda hapa Khurram's Softwares utakuta masoftware kibao yote yako poa unachotakiwa tu. usi...
habari zenu ndugu!naomba ushauri wa simu yangu nokia 6234.nilikuwa na download applications kwenye internet sasa nika download dictionary baada ya kudownload ikakataa kufunguka ikabidi...
hii ni siku ya 2 now ps2 yangu nikitumia ikifika dk 5-10 na kuendelea ina freeze after dat tv ina noise then ps2 inakata kwenye TV signal kama mtu aliyeizima wakati still iko on!! huwa natumia...
Wanajamvi naombeni yeyote mwenye links au mwenye Muvi za Blue Rays tafadhali anipe mwanga au anipatie Muvi hizo,Mi nipo Arusha ila hata ka ni Dar naweza kutafuta muda nikaja kuzichukua.Thanx in...
hali yako...
Brother kuna inshu nilikuomba unisaidie kama ifuatavyo.
1.nini maana ya link
2.Ni vip naweza kuitumia coz naona watu wana2miana link mara link ya muvie ili a download muvie...
Wakuu, baada ya kupokea maoni na ushauri mwingi mno, tumeamua kuirudisha AfroIT.com, hivyo tunaizindua rasmi hapo jumatatu. Utaweza kuipata kwenye linki ileile ya AfroIT - Elimu na mafunzo kwa...
Jaman wana JF nilikuwa naomba mnisaidie mealekezo ya nama ya kuunganisha simu yangu na internet(simu yenyewe ni Black Berry Curve 8310) plzzzzzzzzzz????????
WAKUBWA NINA MACHINE DELL OPTOPLEX GX 270 HAI DISPLAY kabisa lakini power supply inaingiza moto vizuri 2,nimesha jaribu ku change prosesa lakin tatiz bado lipo pale pale,,,,NAOMBA MSAADA
Wakuu msaada wenu, naomba mnijuze vitu ambavyo ni vya muhimu ili kuweza ku-operate website, pamoja na utengenezaji wake.
Thank you...
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Habari wakuu wa maujanja ya compyuta naomb msaada jinsi ya kupata drve za network za dell yangu nimetafuta sana bila mafanikio ila nikiweka modem inapga mzigo kama kawa niliweka win7 mpya last...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.