Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nategemea ushirikiano mzuri toka kwa mdau yeyote wa hapa jamvini. Nataka kuflash simu yangu ya Nokia N73 kwn nahisi imelord sana! Nawasilisha!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Heshima kwanza wana jamvi naomba kama kuna mtu anayo au anajua pakupata nikita s02e23 anisaidie link na namna ya kudownload msisitizo iwe ya bure manake uchumi sio mzuri na bajeti natumai mmeiona...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa muda wa mwezi sasa kumekuwa na mianya ambayo inawawezesha wavamizi wa mambo ya mitandao (hackers) kuwashambulia wale wanaotumia internet explorer (IE) kufungulia akaunti zao za Gmail na kutoa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
vipi wadau wa Jf? sasa Unaweza Kuupdate Your BB kwa njia Rahisi Sana Na Kukuwezesha Kuenjoy more Features as Ukitumia Njia ya kawaida Ile ya Kutumia Software Updater,RIM watataka Uwe na Active...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tigo wameshindwa kulipia huduma za Youtube ili kumwezesha mtumia Blackberry bandle kuplay youtube vídeo .. Unajikuta unaplay lakini unaingia gharama za kawaida na si za kwenye bandle . Je vipi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni mnisaidie jinsi ya kuweka avatar katika profile yangu hapa JF. Nitapenda kujua namna ya kuweka animated avatar pia. Thanks in advance.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
laptop yangu inagoma kuconnect wireless na pia bluetooth connection ingawa inaonyesha kwamba ilvyotengenezwa iliwekewa features za kusuport
0 Reactions
2 Replies
939 Views
Wadau naomba msaada wa kupata instructor manual ya colin drury kama kuna mdau anayo ya soft copy naomba anitumie kwenye email yangu kasingotz@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa habari za mida hii Tafadhali naombeni msaada wenu kwa wazoefu wa masuala haya kudownload nyimbo.Hapo awali niliipata youtube downloder ila haifanyi kazi vizuri inadownload robo tu ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Paypal is the most secured and commonly used system for online transactions.And most of the online shops and other services accepts paypal as the payment medium.Paypal gives a lot of features for...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ubora wa picha wa Channel 10 na TBC 1 ni aibu. Tena bora TBC, Ch10 ndo bure kabisa. Kwa zile picha ambazo sio zao kama vile video za wasanii huwa zinavutia lakin zao mfano vipindi vya bunge ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa naweza pata software ya kuflash simu aina yeyote??PILI MLANGO WANGU WA COMPUTER YANGU(DESKTOP) UNASUMBUA SANA KUFUNGUKA PAKA NICHOMEKE KIPINI NDO UNAFUNGUKA NAOMBA MSAADA.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau, Kuna zile Sony Walkman za kutumia tape (cassette tape), kwa hapa mjini Dar wapi naweza enda nikapata? Nitafurahi kwa anaejua mahali naweza pata akanielekeza na bei pia kama kuna...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mimi sio mtumiaji sana au sio mtaalamu wa internet, nina tumia samsung Galaxy pocket GT S5300 naomba kufahamishwa kama naweza kujiunga na kutumia Skype kwa kutumia hii simu...
0 Reactions
3 Replies
877 Views
mwenye kujua kama jua linamadhara kwenye computer kama likipga direct na effect gan inaweza tokea kwenye mashine hiyo!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
iwe ipo pouwa sifa 12mp and obove 4 optc zoom and above ikiwa na memory card itakuwa powa zaidi hata kama imetumika lakin isiwe sna kias kwamba inakuwa imechoka.
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Kwa mujibu wa habari za Kimataifa kuna uwezekano wa kuzimika sehemu kubwa duniani kufatilia marekebisho ya kuondoa virusi, chini hapo kuna links za bure za kurekebisha kompyuta zitakazoathirika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Natanguliza shukrani wakuu,naomba maelekekezo kwa mtu yoyote anaefahamu kuunga internet kwa kutumia simu ya HTC desire a8181 na kama anaweza anatumia software gani?.....msaada tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
serial number za IDM (Internet download Manager
0 Reactions
1 Replies
675 Views
Ipad 2 inahitajika iwe na 3g, kuna 600,000. Kama uko nayo sms 0753 474176 ama nipm
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Back
Top Bottom