Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wana jamii nina shida kama kuna mtu anaweza nifahamisha mwenye kujua quickbooks. unapoingia kwenye menu ya COMPANY utakuta maelezo ya overdue invoices zinaonekana though malipo...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Hallow wana JF Nina simu yangu aina ya Nokia N8, na huwa ninatumia line ya voda, sasa jana nikaeka line ya Zantel wakawa wamenitumia mameji kibao ya setting za internet Nilipoitoa line ya zantel...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
pata video tutorials katika nyanja zote za computer science free katika site TheNewBoston - Free Educational Video Tutorials on Computer Programming, Adobe Software, Computer Science and More...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwawale wapenzi wa Movies in 3D form, juc tafuta glasses za kuwatch hizo movies now unaweza kuziangalizia hata hapo hapo home cha kufanya download Latest KMplayer na hizo 3D movies ambazo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada nimesahau password za memory card kwa anaejua namna ya ku-unlock naomba anijuze.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kuna mtu anajua jinsi ya kuzifungua hizi simu Ideos za Tigo msaada tafadhali,nataka kutumia SIM card ya airtel kwa ajili ya intaneti.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
HEY! dstv mobile ya vodacom unaweza cheki live game za EURO 2012 or wanazigua,, i wish leo nitumie, iko poa???
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Naomba kujuzwa kama naweza kuona football match kwa kutumia simu
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Wakuu nimedondosha Ipad kutoka kitandani kwa bahati mbaya, ilizima na nilivyoiwasha haikuwaka tena naombeni msaada nini cha kufanya hapo. Natanguliza shukrani zangu:yo:
0 Reactions
10 Replies
1K Views
NAOMBA msaada wakuta line., !! kama nitaweza kufanya at home plz!..,,. bila kwenda kwa fundi.
0 Reactions
2 Replies
762 Views
samahani kwa usumbufu, naomba mnieleweshe nina simu aina ya bird w5000 touch screen, je cm hii iko upande gani ipad,iphone,android nk. nauliza hivyo kwa sababu nasikia os nyingi lkn sielewi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
naomba msaada tafadhali, nataka kununua laptop tatizo specification za mashine nzuri na ya kisasa sijazijua, pia na kampun nzuri ni ipi?, kama bei inajulikana naombwa pia kujulishwa, asanten wakuku
0 Reactions
12 Replies
8K Views
wanajf tena naombeni serial keyz za software ya driver genius professional file version 10.0.0.0 rgds
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimepoteza cm yangu ambayo kwa kifupi niliifanya kama portable drive yangu, ni Android MI-300 na nime i"SYNC" na google account am not sure kama inaweza kunisaidia kwa jinsi yeyote. Wadau...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wataalam wa simu za mkononi nisaidieni kukuza maneno yanayopatikana ktk mtandao kwa kutumia simu za BlackBerry ni madogo sana kwenye screen ya handset nimeweza na hata kuandika sms kuzikuza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana jf heshima zenu,jana kwenye net nimeona uzinduzi wa samsung galaxy pocket hapa bongo,wadau wa tech walioitumia au kuiona mna maoni gani kuhusu perfomance yake, hasa kwenye internet...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za kwenu wanaJF, Hivi karibuni nimenunua laptop mpya ya dell xps 15z ambayo ina space ya 750gb hdd, 8gb ram, 2.8Ghz, intel core i7, 64bits. Nimeikuta ikiwa na windows 7 home premium SP1...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaribu kutembelea www.rahacom.tk kisha search. Utaona error hiyo ndio inayonisumbua.
0 Reactions
1 Replies
914 Views
Habari wana jr. Tumetokea tatizo la kujizima simu na kujiwasha yeshewe yaania kiasi kwamba una bidi ku swap laini. Uzoefu unaonyesha kwa laini za tigo. Nimetafakari kwa muda na kupata suluhisho...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Wana jf ninaomba msaada wa kujua ni stablizer ainagani niitumie katika vyombo vyangu vya muziki ili kuweza kuongeza power ya umeme! Ninatumia busta royal s 1200 zipo 2. Umeme unashuka mpaka 190v...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom