Last Thursday, Judge Richard Posner in Chicago federal court canceled Apple's long-awaited trial against Google Inc's Motorola Mobility division, which makes devices powered by the Internet...
Usihofu kama umepoteza funguo na haupo karibu na rimote yako ya pikipiki au gari. Unachotakiwa kufanya ni kumpigia simu mtu alite nyumbani na umuambie achukue rimoti ya pikipiki au gari yako na...
wana jf.
Boom Ni huduma ya airtel.. Ambayo unalipia shilingi mia tano tsh500.. Unauganishwa na free call kwa namba moja kwa wiki nzima bila kulipia chochote.. Kuna rafiki angu aliunganishwa na...
Wadau nauliza kama kumiliki blogs ni ujiko au laa!! Maana siku hiz tumekuwa tukilazimishwa kutembelea blogs za watu bila ridhaa yetu. Hili hufanywa na wale waoweka matangazo ya kazi humu.
Hebu...
wakuu natumia simu ya Mi-A300 ina OS ya android v.2.2 (froyo) tafadhali kwa yeyote anayefahamu kama naweza kui'upgrade kwa android version ya juu zaidi hata at least v.2.2.1 naomba anisaidie.. pia...
heshima yenu wanajamvi.
nlikuwa nikitumia hii huduma ya bomba saba kwa kipindi kirefu kidogo,il juzi nimejaribu kujiunga imegoma kabisa, msaada tafadhari mwenye kujua lolote kuhusu hii huduma...
This is a second post asking for Job Portal Manager.
Anatafutwa mtu ambaye ata manage webblog mpya ya ajira, ambayo ni fully hosted and created by us. Atafaidika kupata asilimia kadhaa kama...
Nilikuwa na hili tatizo na nimeweza kulitatua leo...nawe unaweza kupitia kama una hilo tatizo
Kwanza download [ K-Lite Codec Pack 8.8.0 BASIC ]
Halafu fuata maelekezo ya kuinstall HAPA
Nimepata ujumbe (Email) kwenye computer yangu ambao baada ya kuufungua na kuusoma niligundua ni Spam. Hii siyo shida. Tatizo ni kwamba nilipokuja kufungua tena email yangu baadae, nilikutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.