Jamani, naombeni msaada wakuu, ninayo software lakini sina namba yake ya siri. Kama kuna mtu anaweza nisaidia nitashukuru sana. Asanteni sana wana JF....
computer yangu ukiwasha inaandika primary and secondary hard drive not found.nimejaribu kubadirisha hard disk hadi na nyaya zake lakini bado inaandika hivyo hivyo.msaada wenu wakuu
Some of us (infact many) have been receiving DM from your friends or other tweeter accounts saying "
Someones Saying Bad Things About You
Well here is the story behind:Hackers have managed...
Habari za week end wakuu. Naomba msaada wenu juu ya namna ya kurekebisha tatizo hili kwenye simu yangu. Natumia Nokia 2730. Ninapoingia kwenye internet na kutaka ku-download kitu e.g. image...
Computer yangu ina siku 4 ukiburn cd inatoka yenyewe.Nikafika hatua ya kubadilisha Cd Empty ikagoma na pia nikanunua Dvd writter nyingine bado yale yale.Ikifeli ku burn inaadika ''Power...
Naomba kuuliza.nina kompyuta aina ya dell,monitor ni flat screen sasa kwenye hii monitor kuna USB port 3.je?naweza kutumia?kama ndio vipi?ntashukuru kwa watakao nifumbua.
kila nikiadd code kwenye cas wakati wa kufanya application message inakuja imeandikwa ivi ERROR!!, INVALID ENTRY, MAKE SURE YOU ADD THE CORRECT PROGRAM CODE AS IT IS WRITTEN FROM THE GUIDE BOOK...
kuna software inakuwezesha kupata free internet ya basi la rangi ya kijani lakini two hours free. baada ya hapo inakubidi ulipie dola 3.0. malipo wanayokubali ni kutumia liberty reserve tu. kama...
Jamani mimi nimekuwa nikitumia simu za kichina kwa muda mrefu sasa nimeamua kujivua gamba na kununua Blackberry! sielewi vitu hivi kwenye Blackberry-BB torch, BB curve, BB style, BB bold, BBM...
habari wenu wanaJF,
naombeni mnisaidie niweze kujua ni jinsi gani naweza kuconnect remotely computers zinazotumia windows7 ziweze kuwasiliana kwa kutumia internet...na pia mtu wa computer moja...
Wakuu naombeni msaada kwa wale ambao wamewahi kutumia galaxy note na galaxy tab, nimekuwa nikitumia ipad 2, lakini kuna features nyingi ambazo nakuwa limited kuzipata including flash player...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.