Dell Inspiron mini 1GB Ram, 250GB HDD, Intel Atom 1.66GHzX2, 11.6", 5 Hours Battery Life, 350,000/=Tsh in mint condition.
Blackberry Bold 9700 in very good shape 300,000/= Tsh
Nokia N97-1 32GB...
Wadau Dadavuzi mpakato yangu inazimika ghafla kila nikiiwasha.Kuna kipindi inaweza kuchukua hata saa nzima bila kuzimika lakini ikianza kila baada ya dakika kumi mpaka kumi na tano inazimika...
modem yangu ni vodafone K-3565-Z,niliiflash na wakaniwekea software ya 'ZTE-join air' nikawa natumia line ya airtel kama kawa kwa muda mrefu tu,sasa hivi ingawa nina bundle ya mb400 lakini...
Mkuu Heshima Mbele,
Mosi: Nimejaribu kufanya connection ili kuweza kuingiza information kwenye database kupitia html form using php with a file extension .php (as localhost) bila na mafanikio...
Naombeni mnisaidie nawezaje kuinstall program ya kuniwezesha kuacces internet ya simu ya nokia 2700 classic kwenye Pc kwa kutumia USB. kila nikiconnect wananiambia install the program for nokia...
Last night baada ya kurudi nyumbani niliamua kuandaa ubwaba fast kwa kutumia microwave oven(cooking time less than 10 min kikombe kimoja). Bahati mbaya fuse iliungua kila nilipoli switch on. Nili...
Jana kuna link ya picha ya rihana iliiingia kwenye acc ya facebook na ikasababisha acc yangu aikagoma kufunguka kabisa mpaka sasa,na ile link ya acc yangu ya facebook inaonekana kama hivi:Please...
Nikicheza video za mtandaoni hukwamakwama na hata zile za live.Siku natazama mechi ya Simba na Shandy Sudan ilikuwa tabu.Ikiplay dk2 ina buffer dk2.Naombeni msaada juu ya hili ili nami ni enjoy.
We can't sign you in to windows live messenger (Signing in to Windows Live Messenger Failed because the service is temporarily Unvailabe. Please try again Get more information.......)
Haya...
Kwa muda mrefu nimekuwa nasafiri kwenda maeneo ambayo siwezi kutumia line ya Vodacom. Mara zote huwa maeneo haya husika kwa wiki moja na zaidi. Na mara nirudipo, huwa nakuta salio katika line...
naomba kujua hawa watu wenye mablog au website jinsi wanavyoweza kufaidi na Google adsense.
Kama mtu ana website yenye google PR 2, PR 3 and PR 4, je anawezaje kugenerate income through google...
Nimenunua simu IDEOS kwenye promotion ya Tigo sasa nikiweka laini ya simu nyingine inaandika SIM network unlock PIN. Naombeni msaada nifanye nini ili nitumie laini nyingine (unlocking )...
Try this cool tricks-> press alt+ctrl+^(up arrow) to turn your screen upside down, to restore press alt+ctrl+(down arrow), press windows+L for quick logout, if you know more tricks please share.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.