Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu, BB yangu Bold 9000 iligoma kuwaka yenyewe tu baada ya kuwa nimeicharge ikiwa nimeizima. Baada ya kutoa betry na kurudishia ilikuwa ikiblink tu bila kuendelea, nilifikiri ni tatizo la...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Je hii kampuni bado ipo? Au bahati nasibu haikuwa dili? Naona website nitasoma.com haipo, na blogspot (Nitasoma) haina post mpya.
0 Reactions
1 Replies
817 Views
jamani avast antivirus ime- installed BUT, BUT, haifanyi chochote, no updating at all... no uninstalling yani nimejaribu ku-unistall nimeshindwa. then button ya capslock iz very slow. laptop...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nadhani kila kompyuta uwa kama haijabandikwa lebo Pentium Inside, core2, duo, M etc basi itakuwa ina lebo ya AMD, AMD premium etc! wataalamu naomba mnipe tofauti kati ya pentium na amd, faida...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu natumia nokia 2700, kila nikitaka kudownload application inaniandikia "no certificate", msaada wenu nifanyeje? Kwani nimeshindwa hata ku-upgrade operamin
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu wa jukwaa hili Natumia bold 9700 na nataka ku upgrade os kwani hii ninayotumia inarun os 5. Mie kila nikijaribu upgrade kwenye computer huwa inadownload file ikifika mb 400 inakata. Kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani wana JF kamakuna mtu yeyote anayefaham code za fifa 2008 games anitumie cos kila nikiingiza naitajika kuweka code na sina, naombeni msaada kwa hilo.:A S 2152::A S 2152:
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Recently nimedownload ubuntu11(thanx to proxy hack) nimecreate bootable usb, then nkajaribu kuboot kwenye mashine ya dell inspiron m5010 cha ajabu imeanza kidogo kuinstall kisha imeandika...
0 Reactions
5 Replies
897 Views
Nahitji kujua iwapo kuna uwezekano wa kuongeza FTA channels kwenye decorders za DSTV. Na kama inawezekana, je, muda wa kifurushi (packagea) ukiisha, nazo zinapotea? Swali la pili, je,kuna...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wanadai kuwa wao ni bora kuliko BBM, I won't confirm. Wajaribu hookt hapa http://hookt.com Kwa kifupi ni instant messaging app, ni cross platform i.e. unaweza kutumia kwa BB, iOs, Android n.k...
1 Reactions
2 Replies
977 Views
Habar wana jf naombeni msaada nataka kununua desk top used nifahamisheni yafuatayo maana mi siyo mtaalamu kabisg wa mambo haya 1.ni mambo gani ya juangalia ili upate mashine nzuri_mambo ya ram,hd...
0 Reactions
3 Replies
945 Views
Angalia animation ya ukweli by bongotoonz http://youtu.be/_Vgwhs75H7U
19 Reactions
45 Replies
6K Views
wakuu laptop yangu nmeiangusha,screen imevuja wino,je inaweza kutengenezeka?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, naombeni maelekezo utaratibu wa kuunganishiwa chanels za super sports kwani mi naish kijijini nataka kufanya biasha ya kuonesha michezo ahsanteni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu natumia iPhone 3G,nimekwama kabisa,kioo kime-stuck,nashindwa kufanya chochote,naomba munisaidie wajameni.....!!!!!nawasilisha.......
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wadau naomba msaada wenu, nina hard disk ya laptop ninayoitumia kama external hard disk drive ambayo ina kila kitu changu (250 gb full):A S-confused1:. imenishtua inapogoma kufunguka japo kwenye...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
baada ya kupita hapa na pale mekutana na hii site wanakupa hadi dk 25 kupiga simu bure Fata step hizi 1) open link yao (ipo chini) then register account 2) utatumiwa msg 2 kwenye simu yako ya...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
bit defender inaniumiza kichwa inakataa ku update in ya kuhack
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau hebu mnisaidie, kwanza nillinunua zantel line ya gsm, baada ya kuweka sh 500, ikawa inaconnect afu nikifungua page inaonesha kama hamna internet access. yaani page inafunguka na kuonesha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naombeni kujua kwa simu ipi ni nzuri kati ya operamini na Uc browser na nikivipi?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom