Nina simu aina ya Blackberry torch 9800. Nina wiki mbili toka niinunue.
Naambiwa simu za aina hii zinaonesha ramani ya mahali ulipo, ukiwa kwenye gari inakupa speed ambayo dreva anatembea na...
wakuu ninasimu aina ya nokia 6500c,system yake ya charge imeunganika na camera,sasa vyote vimekufa,nimehangaika kwa mafundi kadhaa lakini nimekosa matumaini,naamini kwenye jukwaa hili nitapata...
Wana jamvi sikielewi hiki king'amuz cha startimes zile nön-conax chanel zinaonyesha vizuri lkn hizi zao sasa kila saa zinakwama kwama sielewi tatizo ni mitambo au kwa7bu nakaa nje ya mji lkn..non...
Free Web Hosting with no advertising, there is no catch, so what you see is what you get. Here is our offer to you:
1500 MB Disk Space
100,000 MB Bandwidth
Free Subdomain or Your Own Domain...
Hi Wakuu nimenunua black berry 9630 ila kuna tatizo moja nikiweka namba zile za kuiricharge yenyewe inapiga mpaka dakika hii sijaweka vocha tangia ninunue yaaani ni mballaa kwa anyefahamu anisaidie
Ninatumia ttcl broad band na ninahitaji kuichakachua ili nipate net buree nifanyeje naomba msaada wakuu modem ninayotumia ni HUAWEI Smarttax MT 880. Msaada tafadhali
Ndugu wapendwa naombeni msaada,baada ya ku'convert' mafaili yenye extension .flv na .wmv to mpg ili yaweze kuplay into my video player tatizo linakuja katika kuburn cd using either nero au...
Viewsonic viewpad 10E
Tablet PC (IPAD)
9.7" Touchscreeen
Webcam
Mini HDMI,
Up to 32GB via Micro SD
WiFi + Bluetooth
OS - ANDROID Gingerbread
Tzs 620,000/-
Brand New.
Habari wana jf.nawaomba mwenye kuifahamu simu ya kichina(moderate price),inayo weza kusurf internet i.e operamin,google,uc brouser.etc.anijuze na anitajie jina la hiyo simu.maana nimeiona TECNO...
Jaman wale wadau wa ku2mia maprox ye2 yale vp hi prox ya circle of brain washa iblock nini? Mana saiv kwang haipigi mzgo wala nini na ilikuw pouwa sana
Wanajamii naomba msaada wenu juu ya laptop yangu aina ya TOSHIBA Satellite A200 Series. Imeacha ghafla Imeacha ghafla kuonesha icon ya CD/DVD WR. Kwa hiyo, haisomi wala kuditect kwamba CD/DVD WR...
Wakuu za mida, aisee hii ilikuwa posted kwenye jokes, lakini nadhani 'terminologies' siyo understood kama ambavyo itakua huku. Haya ni mazungumzo ambayo end-user alikuwa anafanya na mtaalamu wa...
Msaada wakuu nina HTC chacha A810e imezimika baada ya kudownload new version ya facebook ya android nimejaribu kutoa bettery nakurudisha imegoma kabisa lakini taa ya charge inawaka nikichomeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.