Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
test opera mpya opera mini 7 kupitia website hii http://m.opera.com/next Ina feature mpya kama 1) now kuna homepage ambayo unaweza log in account zako za facebook na twitter, kila ukienda...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Workflow Robot ERP ni mfumo wa komputa unaotumika kusimamia na kuratibu mauzo, mapato, matumizi na stoku. Hutumika kwa mpangilio uliowazi na kudhibiti kila sehemu ya biashara hasa pale...
1 Reactions
0 Replies
902 Views
Kwa wale ambao wanahitaji mwanga mchana kwa sbabu nyumba/kibanda hakina madirisha, kuna namna rahisi ya kupata mwanga wa jua kwa kutumia chupa ya plastiki iliyojazwa maji. Chupa hii ikiwekwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau kuna yeyote mwenye maujanja anisaidie plz,..........Ni kuhusu ile ofa ya saa 6 ucku ya mb 200 za bure za airtel, ikifika muda huo hawa jamaa huwa wanashusha connection speed toka HSPDA/WCDMA...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau, kama swali linavyojieleza hapo juu. Naomba niwe specific kidogo, mi nasikia wenzetu(ulaya/marekani) huwa wanafanya-filming kwanza na baadaye wanaingiza sauti kwenye picha. Swali ni kwamba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wadau naombeni msaada na suluhisho kuhusiana na neno la kijani ECONO linatokea katika dashboard toyota Rav4 yangu likitokea gari inakuwa nzito, je tatizo ni nini na suluhisho ni lipi!? Naombeni...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
wakuu naweza pata wapi destop flatscreen nzuri na kwa bei gani? iwe na specification hizi, 80GB HDD, 2 or 1GB RAM, CDR yaani inaweza kuban, aina ya Dell. usisahaukuniandikia specification...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
poleni na majukumu wadai wa jamiiforums na wanatekohama. ningependa kujuzwa kuna tofauti gani kati ya blackberry na nokia E73 nawaasilihsa
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nauza Mac book Pro core 5 bei 1.5mil anayehitaji anicontact kwenye 0715244904 au bbm pin 27f5ec10
0 Reactions
4 Replies
829 Views
wakuu window media player yangu haiplay nyimbo zilizo ktk mfumo wa WAV,MPG,MP3,WMA, kiurahisi labda kwa kuforce na si kwa kudouble click au kuopt play inanisumbua coz nyimbo nyigi ni mp3 nasumbuka...
0 Reactions
3 Replies
775 Views
This is a 250GB ps3 with a wireless dual-shock3 controller, It comes with 5 to 10 games of your choice on the list provided below either downloaded or original CD. Why selling?????:No time to...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Airtel wame lunch new promotion guys, Modem Shs 30,000 na Offer ya free Internet kwa miezi 6...Tembelea duka la airtel Uchukue modem yako fasta!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi G inauhusiano gani na speed? Katika SI unit za speed, je G ipo?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba mwenye direct link ya kujifunzia anisaidie hii kitu nataka kuweka transatio image katika blog yangu nitashukuru
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani, nina usb flash sandisk 8gb. Nilinunua muda si mrefu. Tatizo lake kila nikiingiza kwenye laptop wakati inafunguka inachukua muda, panatokea green colour kwenye bar from left to right. Mpaka...
0 Reactions
1 Replies
890 Views
>>System Manual SOFTWARE FOR: Sales Management (AR), Inventory/Stock Management, Human Resource, Asset Management, Purchasing Management (AP), Job & File Management, Document Management...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wadau naulizia kuwa nawezaje kudownload game la pes 2010 FREE na kuendelea ambalo ni full version ambalo si DEMO??(football):A S embarassed:
0 Reactions
15 Replies
906 Views
The Dutch company PAL-V Europe NV has successfully concluded test flights of its flying car, PAL-V (Personal Air and Land Vehicle). During the past two weeks, several test flights were conducted...
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Naomba kuuliza, je naweza ku-flush modem ya Sasatel ili niweze kutumia sim card za aina tofauti? Je ntafanyaje? Naomba msaada
0 Reactions
5 Replies
2K Views
How to Recover Deleted Files Have you accidentally deleted your files from the Hard disk? Do you desperately want to recover them back? Well, you need not panic!It is possible to recover the...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom