Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jaman na wana jf kama kuna mtaalaam wa bb phon anpe techniques za kujiunga na internet bila kununu bandle za makampun. Nataka niweze kutumia net hata kama nanunua mb 50 tu na syo zile za macampun...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu mambo vp? Niko hapa kuwauliza wataalamu wa simu kati ya hizo hapo juu ipi ni bora kuliko nyingine na kwa kuhusu bei Nokia inauzwaje na Samung inauzwaje?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jamani nina samsung yangu nataka kuwekawhatsapp inanizingua na windomarketplace imegoma,naomba msaada
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Mimi ni mteja wa tigo toka mwaka 2000 nilipojiunga kwa mara ya kwanza enzi zile za mobitel. Hivi karibuni nimekuwa nikipata bugudha kubwa sana kwani nimekuwa nikitumiwa mimeseji kibao toka kampuni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
napenda kufaham umuhimu wa ku upgrade firmware ya simu, nini custom firmware inafanya na jinsi ya kufanya upgrading. natumia samsung ch@t222
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Habari wanajf? mie naomba msaada jinsi ya ku upload files kwnye e mail za gmail...mwenye kujua hili msaada tafadhali!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnisaidie jinsi ya kuburn audio cd ambayo inaweza kuplay kwenye Audio cd deck yoyote. Kuna ambazo niliburn kipindi fulani hv huwa hazisumbui kuplay lakini juzi juzi hapa niliburn...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hivi wadau kuna utaratibu wowote unaosimamia upitishaji cables baharini, maana wengine wanapitisha cable za umeme, wengine mawasiliano, wengine mabomba ya gesi na mafuta. je kuna utaratibu wowote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima MBELE wakuu. Mwenye Joiku spot ya kuweka kwa BlackBerry 9000 , nahitaji sana wakuu au kuweka kwenye Laptop, Kwa heshima watakaonipa woote wabarikiwe idondoshe hapa nitaipata na key zake...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hv app ya call manager ina faida gani? Naje inakubalila kwa nokia 6280 kama ndiyo nisaidieni link ya kuidownload
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Salaam wana JF wote. Huwa sipendi katika simu yangu hiyo kitu,muda si mrefu leo nimepigiwa simu toka 07190006...namba za mwisho sikumbuki...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Simu yangu ina trust certificate,nikizifuta kuna madhara?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii thread aliileta hapa jukwaani Polo, alitupatia mafunzo yenye maana sana ya Digital Video Broadcasting na Satellite Television. Naomba mtaalam wa haya mambo anisaidie, nina swali moja kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Naomba mnisaidie hayo hapo juu jamini?
0 Reactions
0 Replies
632 Views
habari zenu wakuu, mimi ninakitu kimekuwa kikiniumiza kichwa kidogo. naelewa kuwa ukimtumia mtu flash sms anapata msg na asipo click save basi haitaingia kwenye inbox yake kabisa. Sasa basi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ninatumia king'amuzi cha Zuku lakini ningependa niweze kuongeza FTA channel katika package ya Zuku....Je inawezekana. Kama inawezekana basi tusaidiane japo niongeze channel za bure za dini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina akaunti yangu ya "yahoo" email, lakini huwa inanitatiza pale ninapojaribu kuifunga kuona sms inagoma kabisa ilhali email na password niliyoingiza ni za uhakika. Nfanyeje wakuu coz nataka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
This is a 250GB ps3 with a wireless dual-shock3 controller, It comes with 5 to 10 games of your choice on the list provided below for a price of $400 only. Need For Speed Hot Pursuit...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wa kambi nahitaji msaada katika hili, natamani kutumia SIM Card tofauti tofauti katika Ideos U8150-D. nisaidieni ku unlock.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nipeni ushauri.. Kuna ninayemdai fedha kama laki hivi.. Akaniambia anatanguliza hiyo simu na fedha tutapigiana hesabu anailpe taratibu.. NB. Ni simu original...!
0 Reactions
5 Replies
994 Views
Back
Top Bottom