Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
naombeni msaada jamani!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Wanachama wenzangu wahusika habari za Asubuhi. Nina tatizo kwenye IPAD2 ninataka ku download Real Player na Adobe flasher player nimejaribu inakataa Ku download je kuna mtu mjuzi wa hiyo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu naombeni mnisaidie kuhusu hii k2 cha DATABASE ADMINISTRATION,Hii ni course ni nzuri?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeinstall sqlmap kwenye ubuntu kutumia command yani "sudo apt-get install sqlmap".....inaonyesha imeinstall lakini siioni kwenye installed programs ili niweze kuitumia...mwenye uzoefu nayo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nataka kutuma ujumbe wa sms kwa watu wa mkoa mmoja tu,je hii inawezekana nkiongea na watu wa makampuni ya simu?. wenye kujua hili wanipe idea
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau nipeni msaada kwa hilo hapo huu plz!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani wakuu nataka kufunga sms kwa password anayejua jins ya kudownload naomba anipe link: sm ni nokia x2-1. Nawakilsha kwenu wakuu:
0 Reactions
1 Replies
542 Views
Jamani nimeletewa dude hili linajulikana kama Kindle.Ttatizo langu is how to operate .Msaada
0 Reactions
1 Replies
708 Views
Habari nahitaji kujifunza hii adobe cs3 ila sina zana zozote za kunisaidia ili niweze kuimasta vizuri. Msaada ninaohitaji kama una link itakayo nisaidia naomba uniwekee hapa ili nijifunze vizuri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
simu yangu aina ya nokia 6300 express music ilidondoka kwenye maji kitambo ikazima then sikuipeleka kwa fundi nina kama miezi 3 hivi. Leo kuna fundi nimempelekea Kariakoo kaniambia haiwezi kupona...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ughhhh! If your PC has ever been infected - or worse, if it's infected right now - you're probably groaning. Yes it's a pain, but the good news is: you can remove viruses yourself, for free...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Nimefungu account ya Skype kupitia Computer nikitaka ku sign in kupitia simu inagoma, simu yangu Nokia C5.Ila kwa kutumia Pc inakubali.Na vp ambaye ashaitumia credit unawekaje? Msaada jamani.
0 Reactions
1 Replies
719 Views
The term “best PC” is a very common term that many people use to think about when they decide to purchase a new PC for them, however there is no such a term practically because the best PC depends...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The Registry is a centralized data structure that Windows programs, including the Windows itself, use to store configuration data. Every software installs specific registry files into the registry...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mambo kadhaa ambayo yanaathiri download speed yako au more generally your internet speed. leo hapa nimeamua ku share some tips and tricks ambazo zinaweza kukupunguzia maumivu...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
wadau nataka download fifa 2012 nafanyaje ushaur jamani
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Habari wana jf , E mail yangu inawiki sasa kila niki send ujumbe kwa mtu inagoma na kuniletea maelezo ambayo hayasaidii kuondoa tatizo. MSAADA WAKUU!
0 Reactions
1 Replies
252 Views
Wakuu naomba msaada jinsi ya kuunganisha internet simu za kichina.voda tigo na airtel
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefungua account ya Skype kupitia Computer nikitaka ku sign in kupitia simu inagoma, simu yangu Nokia C5.Ila kwa kutumia Pc inakubali.Na vp ambaye ashaitumia credit unawekaje? na matumizi yake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu habari za majukumu, Natafuta soft copy ya selies ya 24 season zote, anicheck kwa number 0688 282403
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Back
Top Bottom