Tangu miaka ya 90 mwishoni RTD ambayo ndo TBC hivi leo walizima matangazo kupitia short-waves ambayo yalikuwa yanafika sehemu kubwa sana suala lilikuwa kunyosha aerial tu. Sasa hatupati matangazo...
Kwa yeyote anayejua namana ya kutuma flash msg kwa pamoja na kuweka password kwenye inbox sms hasa kwenye cm za nokia na blackbery anieleweshe tafadhali
Je inawezekana kutumia dvd player yenye uwezo wa kuplay MPEG4 kama decoder/reciever ya satellite dish? Nauliza hv kwa sbb nyuma ya hz dvd player kuna sehm ya digital coaxial cable connection. Kwa...
Umeme ulikatika ikazima yenyewe nilipokuja kuwasha icon na maandishi vimejikuza kupita kiasi natumia window xp msaada wenu plz je nifanyaje font na icon ziwe saiz ya kawaida kama mwanzo?
Ninaomba msaada tafathali wa kutengeneza table of content automatically, nimejaribu nimeshindwa. kuna zile pages za kwanza kama acknowledgment, declaration, list of abbreviation, list of table na...
holla wana wa JF
najua kwamba unaweza ku2mia simu kama modem sasa swal langu ni iv ip faida ya ku2mia modem instead of 4n na ni vi2 gan utashndwa kufanya uk2mia net kwenye pc kwa ku2mia cmu mpaka...
Sasa unaweza kudownloads folder pamoja na webite nzima then unaisoma bila uwepo wa internet
Kwa wale wenye ubuntu ni kama ifuatavyo.
Open Terminal
then Type wget- rpkd url
then you are...
NIMEONA watu wengi wanasumbuliwa na hii modem ya voda ya k3570z au k3571z . kuitumia modem hii ni kazi rahisi sana.
utahitaji mafaili mawili kutoka internet:
kwanza download: Hotfile.com...
Takribani kila siku watu wengi hasa wanaodowea vya bure kwa kutumia proxy wamekuwa wakipata tatizo kudownload torrents via u toorrent na kulazimika kudownload vitu vya kawaida tu well kaeni mkao...
Wakubwa nilikua naomba kama kuna mtu ana link ya kudownload antivirus ambazo ni effective kwenye phone aipost apa.my 4n z nokia 2700 clasic. Natanguliza shukran
I'm looking for STRICTLY TANZANIAN WEBSITES that offers affiliate programs.
If you have (or you know) an affiliate program in your website(one owned by a tanzanian or someone living in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.